Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,272
😂😂😂😂Wachaa weeeee 😃
I love this mankwa kweli umependa mpaka una picha zake za nje ya kazi(kaptura na tishet)😂
HahahahaMkuu, mi mwenzako toka ile game na Newcastle nilishaapa kutokuangalia game za Liverpool hadi January kwa sharti moja tu endapo tutasajili beki.
Na kama hatosajili beki basi sitoangalia tena game za Liverpool hadi msimu ujao 2018/19 hapo August mwakani.
For sure klopp analeta mambo ya kisenge haiwezekani kuwa halioni tatizo la defense wakati lipo so obvious.
HahahahaUngese wa Klopp unaonekana Wazi Kutuharibia Timu yetu na Kudharauliwa na Mpaka Walioanza Kupenda Mpira 2017...
Hill bwege Lazima Lisepe...
[HASHTAG]#kloppout[/HASHTAG]
Duuh klopp kaua kiwango Cha Trent🤣🤣🤣🤣Sometimes Kocha Analazimika Kuwa Jasiri kwa Kufanya Maamuzi Magumu Yenye Maslahi na Timu..
Miongoni mwa Mabeki Niliowakubali na Wenye Uzoefu na EPL mmoja wapo ni David Luiz...
Lakini Ukiangalia Ndani Ya Kikosi Cha Chelsea Kuna Beki asiyekuwa na Uzoefu Wowote wa Kucheza Timu Kubwa EPL lakini ni very Talented...
Sasa Jana A. Conte Kwa Makusudi Alimueka Benchi David Luiz na ikapelekea Wadadisi pamoja na Mashabiki Kuhoji maamuzi ya Conte kuwa Je, Kafikiri nini Kutomchezesha Beki Mwenye Uzoefu na Big Match badala Yake anamchezesha Beki asiye na uzoefu wowote na big match?
Jibu ni rahisi tu! Mtazamo wa Conte kaona mbali! Je iwapo Beki huyu asie na Uzoefu ataendelea Kuishia Kucheza Mechi za League Cup na FA na Kukosa Uzoefu wa EPL huku Cahil na Luiz umri unaendea Kuwatupa Mkono ni Nani atakaekuja Kuwa Backup yao?
Ndiyo pale Conte akaamua Kumchezeaha Christensen Na Kumueka Juu D. Luise bila ya Kujali Mashabiki na Wachambuzi Watasemaje ili Kunusuru Kipaji Chake Kinachoelekea Kuwa Next Season atakuwa ni Beki Tishio...
Hivyo Ndiyo Kocha anavyotakiwa Kuwa na sio Kiburi!
Leo Nashangaa Kuwa Kwenye Timu yetu Lovren The Most Hated player by Liverpool Fans eti haiwezekani Kuchezeahwa Mbadala Wake...
Klopp alimtrain Trent Kama Full back right na akaanza KuAdapt Vizuri tu na Mchezo! Sasahivi Yupo Wapi? Ukweli usiofichika Dogo Trent ni Very Talented na anastahiki Kupewa Game time..
Klopp alimtrain Gomez kama CB! Sasahivi Ameamua Kuuwa Kipaji cha Trent na Kwa Kumhamishia Gomez RB.. Lengo ni Kuilinda Nafasi ya Lovren dhidi ya Gomez kwani Dogo pale CB iwapo atapata More Game time basi Angelikuwa ni New Carra.. Lakini wapi! Kiburi cha Klopp kwa Mashabiki Kimemfanya aone Hakuna Beki Bora kama Lovren...
😄😄😄 acha kusema hivyo mkuu, huyu dogo lazima atue namuhitaji mnooo, asiposajiliwa lazima niumie aiseeehili dili la wirtz fsg watachomoa huko mbeleni
aje tu hata wakisema 200ml aje tu😄😄Mech ya ujeruman na ureno inaendelea alaf WIRTZ katupia chuma
Good things never come easy dili la Witz ni deal la football at the top level, Witz ni one of the most talented young player in Europe na future of German football.hili dili la wirtz fsg watachomoa huko mbeleni
🤣🤣🤣🤣🤣Mie Nampa mkata umeme wetu Grave atulie tulii.....Amehamia kwa Mlokole mwenzake Gakpo 🤣
Huyo Ryan mtafutie mdogo wako mwingine siyo Mimi😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nasimama na Grave....
YNWA
🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha yaaaniHuyo Ryan mtafutie mdogo wako mwingine siyo Mimi😆
Mimi Team VVD milele
Kaniletea mubebe
last season hamkutuona hata top four, The Reds have turned other premier league clubs and pundits kuwa wapiga ramli, Especially chelsea and ArsenyaniNyie matakataka musimu ujao tutawakula nje na ndani
Waaaaah😍😍😍