Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Next level stuff 😃 😀 😀 😃 😃mzee wa kuwakimbiza mabeki🔥🔥
YNWA
Next level stuff 😃 😀 😀 😃 😃mzee wa kuwakimbiza mabeki🔥🔥
😃😃😃 Spearing the next Steve G yaaani angalau haya mambo ya next Surez, next Gerrard, next Torres kwa sasa hayapo maana Kila mchezaji anakua specio kadri awezavyo.eti akina Spearing dah tulikuwa na wachezaji mizigo wa kutosha
Arsenal wakizingua Ile Dili kwa dharau maana Surez alikua na kipengele kinasema anaweza kuuza endapo ofa ya £40m+ ikatolewa basi bhana Wenger huyoo wakatoa ofa ya £40m+ £1 😃😃😃😃😃😃😃aaaa wakamtifua Supremo wetu Henry mpaka akauliza huko Arsenal wamevuta Cha Arusha ama namna Gani 🤣🤣🤣🤣Suarez aliwahi kuomba kwenda Arsenal
ulikua utapeli mkubwa!Huu usajili wa Aquilani ni utapeli wa Karne...
Dogo Kule Italy alikua wodini muda wote aafu unamleta kwa bwebwe eti next Alonso yaaani hakika tumepita wakati ngumu sana
YNWA
mno aisee...Gareth Barry alikuwa bonge la mido, tukashindwa kumchukua akaenda City, Mzee Rafa alikuwa na kipindi kigumu sana kupata wachezaji aliokuwa anawataka



dah umenikumbusha Ngog dah, wenye timu wametuchezea sana hisia na akili zetu aiseeeeemno aisee...
imagine sub ya torres et david ngog![]()
Rafa hajawai kua sawa tena baada ya kuodoka Liverpool na mara kadhaa amekua na ndoto za kurejea Anfiled lakini haijawezekana.ulikua utapeli mkubwa!
rafa alikua anaonewa sana na wale yanks!
Liverpool remain confident to finalize Florian Wirtz deal as new round of talks has been scheduled this week.Club optimistic to get the agreement sealed with Bayer Leverkusen soon.![]()
View: https://x.com/FabrizioRomano/status/1929371608839332061
Quansah na Elliot kuna tetesi za wao kubadilishana na nyongeza ya helaHuyu mchzaji tuachane nae £150m ni nyingi mno ambapo unaweza pata DM na CF wakueleweka.
FSG wanahitaji a new dimension ya merchandise baada ya Salah kusepa labda ndio dogo anaadaliwa kuja kuchukua nafasi...huyu dogo mbona bei ghali sana, yan hapo tunaweza kuokota ubderstudy wa salah , vvd, na 'dm kabisa
Aje tu ndugu katutaka mwenyewe anasema ni Liverpool tu ama kubakia alipo kwa msimu mwingine hakuna Cha Bavarian au Kipara....Huyu mchzaji tuachane nae £150m ni nyingi mno ambapo unaweza pata DM na CF wakueleweka.
Wenye timu wameamua wakupe raha na makombe wameamua sasa ni usajili tu hakuna kingine soko lipo wazi na wapo macho kuona namna Gani waboreshe kikosi....tetesi watasajilidah umenikumbusha Ngog dah, wenye timu wametuchezea sana hisia na akili zetu aiseeeee