Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,587
- 235,441
Nyie kila siku mnajenga tu timuNext season tunajenga timu ya maana.
Mambo gani haya mpaka sasa hata points 70 hatujafikisha?
1+1=2Historia inaonyesha makocha viherehere wanaoshinda ligi kwenye misimu yao ya kwanza hua hawana maisha marefu pale uingereza.
Mourinho
Ancelotti
Pellegrini
Conte
Greatest managers pale uingereza ni wazee wa slow but sure.
Ferggie
Pep
Wenger
Bill Shankly
Bob Paisley
George Ramsey
Kenny Daglish
Haya tukutane msimu ujao.
Hamjafocus na kombe moja bhana. Hilo ndilo kombe pekee mliloweza kubeba kwa kuwa mlianza vizuri na kutembeza vichapo huku wengine wote wakisuasua na kukumbuka shuka alfajiriNyie kila siku mnajenga tu timu
Halafu makombe hamchukui
Afu utasikia
Ooh Liverpool wabovu.
Sisi tumefocus na kombe moja la maana na tumebeba.
Arse8 fungu la kukosa tunasubiri mtushangaze na UEFA 😂😂
Wewe furahia ubingwa wenu huko acha kutusumbua. Mbona mimi nimefurahi ni nyie mmebeba na si Man C115y?Maneno ya wakosaji yameanza
Tulia dogo, kombe letu ndio kwanza ligi.
Alianza mechi ya kwanza, mkasema amebahatisha
Kawaacha mbali zaidi ya points 10
Mmeanza kusema kiherehere.
Kaka kama City tukichukua huwa unaumia itabidi ujifunge mkanda kwelikweli maana city mpya inaenda kubeba makombe mengine 3 ya EPLWewe furahia ubingwa wenu huko acha kutusumbua. Mbona mimi nimefurahi ni nyie mmebeba na si Man C115y?
🤓🤓🤓🤓 FSG hua ni wa kipekeee wao ni mahesabu kwanza makombe baadae....Captain Marvelous
Hivi FSG si wapite na KDB huyu mtu ale mkataba hata wa 1 yr.
In everything kuna mwanzo ndugu....Historia inaonyesha makocha viherehere wanaoshinda ligi kwenye misimu yao ya kwanza hua hawana maisha marefu pale uingereza.
Mourinho
Ancelotti
Pellegrini
Conte
Greatest managers pale uingereza ni wazee wa slow but sure.
Ferggie
Pep
Wenger
Bill Shankly
Bob Paisley
George Ramsey
Kenny Daglish
Haya tukutane msimu ujao.
Uwezo wa kubeba hamnaWewe furahia ubingwa wenu huko acha kutusumbua. Mbona mimi nimefurahi ni nyie mmebeba na si Man C115y?
Tumejifunza kutosema 'never'. Huyo Slot mwenyewe alivyokuja wote tulimuona kama mzushi fulani tu, hana lolote na akijitahidi saaana, atakuwa anapambania top 6. Mara paap, mchizi kabeba kombe msimu wake wa kwanza.Haitatokezea Kocha yeyote wa Kiholanzi kubeba kombe la EPL katika historia ya Soccer isipokuwa Slot.