Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongereni majogoo Kwa ubingwa ,tuendelee kukaza maana kipara pep ameanza kufufuka na anakuja kama kimbunga mwakani miziki ni uleule .
Upo sahihi ndugu....a wounded lion is extra dangerous.....
Wamiliki wetu Wana nafasi ya kusajili vipaji sasa kwani ukiwa bingwa mvuto unaongezeka sana kwa wachezaji kuja kucheza Liverpool hivyo hapa hatuhitaji bla bla.....
Alivyoshinda Klopp ubingwa wa EPL msimu wa 2020 wamiliki walikula Kona sokoni hakupewa sapoti ya maana matokeo Kipara akasepa na kombe hopefully wakati huu FSG wameshapata somo ni mpira pesa smart buying..

YNWA
 
Mkuu FSG somo pekee wanalilitaka ni mapato yao😃😃.
Wacha tuishi kwa matumaini tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…