Herzogg
JF-Expert Member
- Apr 17, 2024
- 4,573
- 1,389
Unasikia wewe Saint Anne msitutishe na hicho ki EPL tittle chenu cha pili nasisi tumetangaza ubingwa wetu kule dimba la taifa.
🤣🤣🤣🤣By the way nasisi kule wembley tumetangazwa kuwa champions elect wa FA 😂
😂😂😂😂All the best mate.By the way nasisi kule wembley tumetangazwa kuwa champions elect wa FA 😂
Hilo atuzidi tu msahani wa meza ya Eid uleKama vile Community Shield 😂🤣😂😃😂😃
YNWA
😂😂😂😂😂😂Ndio hicho ndugu kwingine atasubiri sanaaa.Hilo atuzidi tu msahani wa meza ya Eid ule
Kisinia?Unasikia wewe Saint Anne msitutishe na hicho ki EPL tittle chenu cha pili nasisi tumetangaza ubingwa wetu kule dimba la taifa.
Walikufa mamilion ya watu kwa covidHUyu liva si juzi tu kabeba ligi -- alikufa nani-- wanatoa conspiracy hewa tu