Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,856
- 236,235
Miaka 7 hii ya sasa Madrid ni timu ambayo imekuwa ikitusumbua sanaAcha fiksi
Madrid hata sisiw tumempiga vizuri tu
Unless ni mgeni kwenye soka
Remember doseena goal?
Hilo sisi wala halitusumbui.
Hata rhis season tumewapiga mbiliMiaka 7 hii ya sasa Madrid ni timu ambayo imekuwa ikitusumbua sana
Na imetutoa fainali mbili UEFA
Huu ni ukweli mchungu.
Tumewafunga lakini tumekuja kutolewa kizembe na wakati tulikuwa tunaongoza kundi.Hata rhis season tumewapiga mbili
Shabiki wa Liverpool tangu lini Spain akashabikia Madrid mashabiki wa Liverpool tupo Barcelona yaani Madrid tunakisasi nayo milele mashabiki wa Madrid huwa ni wa man u nyumbuAhame tu
Sisi tupo
Nishapata babe mpya,Gakpo.
Hii timu bado sijaona wa kuhama naye bado .
๐๐๐๐Hama nae tu aedako anakuhitaji sana maana sio mahala pa mchezo SI umeona hata kocha wao wapo mbioni kumtema kwa kua pale wanajua kua wa kwanza tu na sio wa pili au wa tatu....Ahame tu
Sisi tupo
Nishapata babe mpya,Gakpo.
Hii timu bado sijaona wa kuhama naye bado .
Hakika Mkuu pure respect kwa bingwa haikua rahisi kuukwa huu ubingwa...wapo walioapa kwamba wakiwa hai kamwe haitokaa itokee Liverpool anapata kikombe Cha 20 lakini ndio hiki hapa kinatuaaa Anfiled.....Hilo sisi wala halitusumbui.
Na kanavyojua kununa๐๐๐๐Hama nae tu aedako anakuhitaji sana maana sio mahala pa mchezo SI umeona hata kocha wao wapo mbioni kumtema kwa kua pale wanajua kua wa kwanza tu na sio wa pili au wa tatu....
Alivyosajiliwa Modric msimu wake wa kwanza ulivyoisha mashabiki walipiga kura auzwe maana alikua na msimu mmbaya sana japo hakuuzwa lakini alipata somo kwamba pale hakuna mzaha mashabiki Wana kiu Cha 1st is 1st second is nothing hivyo Trent hana wa kumpeti pale ni kazi kazi mwanzo mwisho....
YNWA
Uwe unakimbizana na City kwa point hata 2 kwa hizo fixture lazima akukamateView attachment 3311033
Mkeka ndio huu mechi zilizobaki angalau tulijikusanyia pointi za kutosha mwanzo wa ligi na Arsenal kupoteana vile otherwise hizi mechi ingekua Kila moja ni fainali.
YNWA
Kipara hata pointi 12 angepindua meza aisee maana yeye hua anapiga goli 3 au 4 na hana sare kabisa aaa lazima angechukua ndio.Uwe unakimbizana na City kwa point hata 2 kwa hizo fixture lazima akukamate
2009.Acha fiksi
Madrid hata sisiw tumempiga vizuri tu
Unless ni mgeni kwenye soka
Remember doseena goal?
๐๐๐๐Usikaache bhanaa hama nae Kule anatia Alonso full burudani ujue...Na kanavyojua kununa
Katalia na kusaga meno hakuna baba huruma
Kuna jigoli lilipigwa na dossena lilikua zuri sana2009.
4-0
Gerard 2
Torres
Dossena
Nimerudi YouTube kucheki clip ya hio mechi.... Epic, top Legend Gerrard akiwa on peak na Torres ilikua hatari sanaaaa.Kuna jigoli lilipigwa na dossena lilikua zuri sana
Acha kabisaNimerudi YouTube kucheki clip ya hio mechi.... Epic, top Legend Gerrard akiwa on peak na Torres ilikua hatari sanaaaa.
YNWA
Definitely kumfunga Real Madrid mwamba is always sweet man.Acha kabisa
That was a good day
Akwende huko๐๐๐๐Usikaache bhanaa hama nae Kule anatia Alonso full burudani ujue...
YNWA
๐๐๐๐๐Ukishalijua Hilo Wala hupati presha na dogo kuodoka .. ukweli kupata Salah na VVD mwingine ni ghali sana kuliko kumpata Trent mwingine....Akwende huko
Liverpool ipo na tunatamba nayo.
Liverpool ni kubwa sana kuliko Trent๐
Boss kasemaKipara hata pointi 12 angepindua meza aisee maana yeye hua anapiga goli 3 au 4 na hana sare kabisa aaa lazima angechukua ndio.
Too good kwetu Kipara msimu huu amekamatika ageing squad, one man DM Rodri kuumia wakawa hawana tena mbinu za mapambano..
Next season Kipara hatafanya haya makosa nategemea kuona June akitema cheche usajili wa maana around $250m hivi kuongeza nguvu kikosi chake.
YNWA