Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,561
- 7,221
YNWA
🔥🔥🔥Mo showing magic assist and setting a new record in EPL for most goal involvement in a single season to around 45 goals and assist na bado ligi inaedelea meaning more record to break...
Bila shaka ni wakati wa kuanza kusuka mipango namna ya kuanza kupata waridhi sahihi wa Hawa senior players wetu....Hili nyanda walipige nyongeza yq miaka 2 tena.
Nikanunue jezi yangu nyekundu namba 11 special kwa ajili ya kupokelea ubingwa😀😀😀
Stay tuned.
YNWA
Nikutumie jezi?Nikanunue jezi yangu nyekundu namba 11 special kwa ajili ya kupokelea ubingwa
HapanaNikutumie jezi?
Okay.Hapana
Moja nitakayonunua inanitosha
Asante kwa kujali.
😁😁😁😁😁😁 Mathematically aanze maadalizi mapema mwali yupo njiani mahali tulishalipa.....Nikanunue jezi yangu nyekundu namba 11 special kwa ajili ya kupokelea ubingwa
😁😁😁😁😁😁 Mathematically aanze maadalizi mapema mwali yupo njiani mahali tulishalipa.....
YNWA
This is Liverpool.Afanye mazoezi asifanye shauri yake
Kuvaliwa lazima apende asipende
This is Liverpool 🔥👌🏿😂
Spurs hua wanakwenda hatua 10 mbele aafu hatua 20 nyumaaa.Tarehe 27 April pale Anfield patawaka moto dhidi ya Tottenham baada ya mechi.
zitabaki kuwa tetesi tu🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid prefer Mac Allister as TOP TARGET over Zubimendi, reports Marca 😲
Hawa madrid vipi?
Mrithi wa Allison tayari tunaeBila shaka ni wakati wa kuanza kusuka mipango namna ya kuanza kupata waridhi sahihi wa Hawa senior players wetu....
Mridhi wa Allison
Mridhi wa VVD
Mridhi wa Salah
Mridhi wa Robbo
Mridhi wa Trent.
YNWA