Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni guys.
Nilikuwa na usongo wa kumtoa PSV ili baadae nimtoe Madrid tukutane nusu fainali, ila nimehuzunika sana kusikia mmekufa kishujaa.

Sasa najiuliza, 'sijui nimuachie PSV anipige 8 leo ili nitoke na mimi?'
 
mlitumia nguvu nyingi sana kwenye mzunguko mkasau hzi mechi za kuviziana , nyie ndo wale wanawali kumi wapumbavu , walitumia mafuta mchana pasipo uhitaji usku ambapo yanahtajika wakawa hawana
Kwamba waliona ni boooonge la diliiiii kuongoza league phase wakati ni suala la kutafuta top 8 au top 24 tu mambo yakae sawa? Kwa hiyo unasema hawa majamaa zetu waliendekeza mbwembwe na misifa (wabongo wanaita 'show-off') kwenye mambo simple?
 
Hizi ni double standards, Curtis Jones hamjamwona??
Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja

Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
 
😁
 
Attachments

  • 20250312_171349.jpg
    20250312_171349.jpg
    326.4 KB · Views: 15
Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja

Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
Me Nunez alivyoenda kupiga penati, nilikuwa naombea afunge japo nilikuwa nashabikia PSG. Alivyokosa, nikaombea na Jones akose, akakosa kweli.
Nilikuwa najua ukiingia JF leo, lawama zote kwa Nunez utadhani penati amekosa peke yake
 
Ni wazi kuwa Nunez hawezi kufunga.

Hata Salah huwa anakosa, ila ushawahi sikia watu wakimlalamikia?

Mimi simpi Nunez lawama Bali Nampa mtu aliyempa nafasi ya kupiga.
 
Ni wazi kuwa Nunez hawezi kufunga.

Hata Salah huwa anakosa, ila ushawahi sikia watu wakimlalamikia?

Mimi simpi Nunez lawama Bali Nampa mtu aliyempa nafasi ya kupiga.
Ukiachana na yote, hivi ulikuwa umekaa kabisa upo serious unawaza utamtoa PSG, na pira lenu lakuvizia mshambuliwe, mpige counter??
 
Ukiachana na yote, hivi ulikuwa umekaa kabisa upo serious unawaza utamtoa PSG, na pira lenu lakuvizia mshambuliwe, mpige counter??
Kwahiyo arrangements ya penati
Kama kuna aliyetegemea tutashinda basi atakuwa na matatizo

Kwa kucheza dk 90 tupo vizuri ila bahati haikuwa upande wenu.

Tuna points70 Epl ambazo nyumbu na wenzao Ipswich wakiunganisha zao hawatufikii
Kaeni kwa kutulia.
 
Kelleher yupo
Anadaka penati japo Moja

Unaweka pazia Allison adake
Hapohapo ukampa Nunez apige penati wakati wote tunajua Nunez magoli ya yeye na kipa huwa hafungi.
Kocha mjinga sana.. tumeshindwa kwa upumbavu wake.
Tuwe na heshima kwa Allison, saves ngapi kafanya tangu mechi ya kwanza mpaka hii ya jana? Kumsema ni pazia ni kumkosea heshima aisee!
 
Kwamba waliona ni boooonge la diliiiii kuongoza league phase wakati ni suala la kutafuta top 8 au top 24 tu mambo yakae sawa? Kwa hiyo unasema hawa majamaa zetu waliendekeza mbwembwe na misifa (wabongo wanaita 'show-off') kwenye mambo simple?
Nakukumbusha tu ukiwa kama shabiki wa Arsenal, May 10, Mkiwa kama Big club mtarudia kufanya hivi tena kwa Liverpool tena kwa wakati huu mtaifanya hii mkiwa Anfield.
FB_IMG_17417944350395292.jpeg
 
YEs......Tumetolewa na PSG, Cha kushangaza wanao tupigia kelele humu ni Arsenal Fans, Seriously ArsenalFc ???, Unaweza kusema they have any pedigree in Europe. Inashangaza sana .
FB_IMG_17417962567159389.jpeg
 
Attachments

  • FB_IMG_17417954668449067.jpeg
    FB_IMG_17417954668449067.jpeg
    191 KB · Views: 13
YEs......Tumetolewa na PSG, Cha kushangaza wanao tupigia kelele humu ni Arsenal Fans, Seriously ArsenalFc ???, Unaweza kusema they have any pedigree in Europe. Inashangaza sana .View attachment 3268056
Tunatania tu kidogo unajua kabisa. Sisi wabaya wetu ni Manyumbu na Mamacita na akina Chelkenge. Nyie kwetu washikaji tu ila hatuwezi kuwaacha bila kuwacheka kidogo.

Nakumbuka Mamacita alipigwa, halafu mimi nikawa nacheza na West Ham. Nikasema nisubiri nimpige kwanza West Ham ndiyo niende jukwaa la C115y kusaga kunguni... kilichotokea kila mtu anajua.

Ndiyo maana tunawachemsha kidogo chap chap kabla sisi hatujacheza. Mpira ndivyo ulivyo wa ajabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom