Mmoja wenu ataita hizo ni major trophies.King Ngwaba katoka kuongelea hili la miaka 30 hapo juu dhidi ya mashabiki wa Everton waliokua wanawabeza.
"Ni namna ya kujifariji tu kwasababu kwenye hiyo miaka 30 bila ya EPL ndani yake muna 2 Champion League, 2 Supercup, 1 Europa Cup, 1 Club World Cup na 1 EPL achana na FA na Carabao sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kujiona wao Zero Trophy kuwa ni bora?"
Haya nyinyi Arsenyo nje ya Carabao na FA tuonesheni kombe lolote la maana mlilonalo kwa kipindi cha miongo miwili iliyopita.
Mwingine unakuja mbio kumquote mtu anayekubali Arsenal in trophies.
Kisha wewe unaniquote mimi ambaye nimesema Arsenal haijafanya cha maana upande wa trophies halafu unaniambia nikuonyeshe trophies.
Hua unadandia vitu bila kujua vilipoanzia ili iweje sasa?
