King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Anord alikaribia kidogo kutoa zawadi![]()
Trent kawa mchomeshaji Specialist
Anord alikaribia kidogo kutoa zawadi![]()
Ni kweli kuna wakati unahitaji kushinda kama jana.
Winning ugly tunasema.
Upo sahihi 2024 ilikua Liverpool kipindi cha pili chini ya Slot tunakua clinical, more sprinting, more cohesion, more compact lakin sasa tupo less compact, less intensity, no game plan kabisa namna bora ya kuzuia kukosa pointi 3.
Kila timu hapa ina ndoto tofauti.
YNWA
Man timu imechoka ata yeye kakili ivo na ni kwel wachezaj wamechoka,tumetoka kwenye mchakachaka na everton so sikutegemea mchezo mzur kwa wolves na nina shukuru sana tulipata magoli mapema,kocha hakuna kitu anaweza fanya kama timu imechoka na si kosa lake ufinyu wa kikosi ni kilio cha miaka sasa liverpool na kila miaka ya karibuni ili tatizo linakuja tuumiza mwishoni.Though we're in a right position but I doubt about Slot's football brain.
Man timu imechoka ata yeye kakili ivo na ni kwel wachezaj wamechoka,tumetoka kwenye mchakachaka na everton so sikutegemea mchezo mzur kwa wolves na nina shukuru sana tulipata magoli mapema,kocha hakuna kitu anaweza fanya kama timu imechoka na si kosa lake ufinyu wa kikosi ni kilio cha miaka sasa liverpool na kila miaka ya karibuni ili tatizo linakuja tuumiza mwishoni.
Tuna bahat majeruh sio ya kutisha kama wenzetu ila ni suala la muda tu na sisi icho kikombe tutakinywea japo siombei kabisa.January tulitakiwa kuingia sokon kwa DM mmoja ili grav awe anapumzika.
Konate spana mkononi,jiulize akiumia VAN itakuaje kwel tuombe sana majeruh yapite mbali na sisi,jana niliangalia benchi la man u adi unamuonea kocha huruma.
Huwezi amini mm mwenyewe huwa najifunza ki engilishii hapa😄 🤣Hongereni wadau.
Wazee wa vingereza.
Ulitaman atumie mbinu zipi na hakufanyaMimi nazungumzia mbinu kwenye michezo tofauti sizungumzii Physical fitness ya mchezo wa jana
Ulitaman atumie mbinu zipi na hakufanya
Sikutamani afanye ch
Slot nahisi fine inaweza muhusu ila kwa wachezaj hapanaArsenal tumepigwa fine ya 65,000 pounds na FA kwa kummaindi yule refa mhuni aliyempa mchezaji wetu kasi nyekundu kwenye mechi ya Wolves. Refa hakutukanwa wala kuguswa ila alizingirwa na wachezaji kama 10 hivi.
Je, nyie na Everton mmeshapigwa au mnategemea kupigwa fine kwa zile fujo za Goodison?
Tuzidi kuomba ya ASTON VILLA iende vizuriSikutamani afanye chochote
Kwani Villa hawaombi?Tuzidi kuomba ya ASTON VILLA iende vizuri
Waliobaki ndio watakuwa wageniJamani eehe mimi naona endapo tunabeba epl , kwenye party natamani Newcastle na wolves wawe mabaunsa getini. Halafu Nottingham forest na Ipswich ni wapasua kuni za kupikia kwenye sherehe . Wapishi jikoni awe totii ,Everton na Leicester . Kamati ya upambaji awe Southampton ,Bournemouth na Aston villa. Vinywaji nadhani itapendeza awekwe man utd🤗🤗🤗 na beshte yake Chelsea. Mtumbuizaa wageni awe arsenal akisindikizwa na bendi ya Fulham. Manchester city atakuwa kwenye section ya kuongoza magari ya wageni waalikwa kwenye parking lot. Nani nimemsahau?🤣🤣🤣🤣
Kama physically upo poor, hata uwe mbinu gani, haziwezi kuzaa matunda, labda ucheze timu ambayo nayo ina poor fitnessMimi nazungumzia mbinu kwenye michezo tofauti sizungumzii Physical fitness ya mchezo wa jana
Mkuu punguza matarajio makubwa hii timu pumzi inaanza kushuka,Wazee tukichukua EPL wale wa DAR tukutaneni tule bata la shangwe 😀😃
Mpaka sasa nina imani yakuchukua ubingwa kwa 70%Mkuu punguza matarajio makubwa hii timu pumzi inaanza kushuka,
Tusubiri mpaka mwezi wa tatu tuone tutakuwa wapi,
Yajayo yananitisha sana.
na mimi kufukuzwa na asernal ndo kunanipa farajayaan kuna washabiki wa LFC wanaamini tutapoteza hili kombe kwa Arsenal?
Angekuwa Man City ningekuwa na hofu ila sio arsenal aise.