Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,533
- 81,264
Ukinisoma kuna mahali nimesema "sometimes hizo maths huwa hazi apply kwenye real football world". Na nimeeleza namna kupoteza mechi kunavyoweza kuathiri team kwa kukosa muendelezo.Mkuu hongera sana umeandika vizuri uchambuzi wako kila mmoja ana mtizamo na ni vyema kila mmoja aheshimiwe maoni yake..sidhani kama yupo mtu anayependa timu yake iliyo moyoni ikapoteza ila tunasema vitu kutokana na experience tuliyopitia..kuhusu kusema timu ni afadhali ipoteze kuliko kudroo upo ushahidi city ameshatupita mara mbili na draw zetu nyingi akatwaa ubingwa japo yeye kafungwa mechi nyingi...mfano...
-------------'------ MAN CITY BINGWA 2018-19...
P w D L. Pts
1.Man city 38 32. 2. 4. 98
2.Liver. 38 30. 7. 1. 97
MAN CITY BINGWA 21-22
P W D L PTS
1.Man city 38. 29. 6. 3. 93
2.Liver. 38. 28. 8. 2. 92
Hii ni mifano tu sitaki uamini wala kusema wengine waamini hiki......
zumbemkuu
YWNA.......
Draw au Loss zote zina cost, kisicho cost ni ushindi tu lakini dunia hii hakuna kocha atakubali kusema eti bora afungwe mechi ili ijayo ashinde kuliko ku draw mechi na inayofuata atoe tena draw.
Football hasa PL hainaga cha team ndogo wala kubwa, hakuna guarantee kuwa mechi ijayo team fulani itashinda (anything can happen).
So focus ya kocha plan A ni WIN, plan B inaposhindikana ku WIN basi ni angalau ku rescue a point (DRAW).
Option ambayo obviously hakuna anaeitaka bali ni nyie mashabiki na hesabu zenu za kwenye calculator ni hiyo ya bora upoteze halafu inayofuata ushinde (una guarantee vipi ushindi mechi ambayo hujaicheza).
Mimi nikuambieni tu siku zote kila team inaingia uwanjani kwa garget ya maximum points (3) lakini kama hali imekuwa ngumu basi hata draw (1 point) ni bora kuliko LOSS ( zero points).