Kua hapa tulipo. Hakuna timu inakutana na Arsenal ina uhakika na ushindihaya kuanzia 2021 top achievement yenu ni ipi?
😂😂Unatamani ufurahie droo yenu ila unakumbuka arsenal ndio watakuwa mabingwa, unaamua kuzuga fate ichukue mkondo wake tu.
What a wonderful archievement 😂😂Kua hapa tulipo. Hakuna timu inakutana na Arsenal ina uhakika na ushindi
"Archieve"What a wonderful archievement 😂😂
Natumaini ulitaka kuandika achievementWhat a wonderful archievement 😂😂
Sawa sawa kakaa"Archieve"
Watoto wa 2000 andikeni vinavyoeleweka
NdioNatumaini ulitaka kuandika achievement
Leicester city 2015/16 walichukua ubingwa sio kwakuwa walikuwa ni team bora kuliko Man City, Liverpool, Arsenal n.k ni kwasbabu ya kuanza kwa winning streaks na kumantain ile momentum. Winning mentality ikishakuwa instilled vichwani mwa wachezaji huwa hata team pinzani wanakuwa wanapata kiwewe mnajikuta mnashinda games easily.Most fans hawaujui mpira vizuri bado, wao huwa hawajui aspects nyingine za mchezo bali ni matokeo ya ushindi tu. Hawajui ni namna gani kupoteza mechi kunaweza kuathiri momentum ya team, hawajui kupoteza mechi kunavyoweza kuathiri morale ya squad.
Hawajui kushinda mechi kunavyoweza ku build morale na momentum ya team. Team inaweza kuwa underdog lakini kwamfano ikishinda game mbili mfululizo huwa wanapata morale na ku build momentum unashangaa wanashinda games mfululizo.
Mfano Nottingham na Bournemouth hawa jamaa recently wamekuwa form sana kwasababu ya kuweza kubuld momentum, winning streaks zinaletwa na morale baada ya ushindi. Everton wenyewe form yao ya hivi karibuni ni hivyo hivyo.
Vice versa sasa, angalia Arseal walipoanza ku drop points walikuwa tia maji tia maji mpaka sasa hawaeleweki. Angalia team kama Man city baada ya kupoteza game mbili tu aliendelea kupigwa na mpaka sasa hajajipata. So guys you should know the difference between and winning or earning a point.
Mjue pia impact ya kupoteza mechi na inavyoweza kuiwia team ngumu ku bounce back. So namshangaa sana mtu anaesema bora kufungwa kuliko draw, sometimes hizo maths hali apply kwenye real footballing world.
Tujifunze kuangalia mpira na kuelewa kila spect ya football in general, nje na ndani ya uwanja.
Halafu hii match ni derby na tena sio derby tu ni MERSEYSIDE DERBY ambayo katika games 10 zilizopita za hii derby Draw ni 4, Everton kashinda 2, Liverpool tumeshinda 4 na katika hizo 4 tatu tumeshinda Anfield moja tu ndio tumeshinda away.
Saint Anne kipara kipya choza choza
Tulikuwa tunamaliza nje ya Top 4 ila sasa msimu wa 3 mfululizo tunapambania ubingwa na tukiukosa tunakuwa wa pili.
Kwa sababu hatajakuwa mabingwa, basi watu hawataki kuona kama kuna hatua tumepiga.
Newcastle, Aston Villa na Nottingham Forest wakipiga hatua za hivi, wanaonekana wamesonga mbele na wanapongezwa.

Mentality, Mentality, Mentality
Dah kweli hizi mentality za midtable teaml, sasa mbona huo uwezo hata N.FORRESST ANAO basi .Kua hapa tulipo. Hakuna timu inakutana na Arsenal ina uhakika na ushindi
Forest ana uhakika msimu ujao atadeliver alichodeliver msimu huu?Dah kweli hizi mentality za midtable teaml, sasa mbona huo uwezo hata N.FORRESST ANAO basi .
Sababu arsenal kumaliza wa pili bado sio mafanikio bali amerudi nyuma.Tulikuwa tunamaliza nje ya Top 4 ila sasa msimu wa 3 mfululizo tunapambania ubingwa na tukiukosa tunakuwa wa pili.
Kwa sababu hatajakuwa mabingwa, basi watu hawataki kuona kama kuna hatua tumepiga.
Newcastle, Aston Villa na Nottingham Forest wakipiga hatua za hivi, wanaonekana wamesonga mbele na wanapongezwa.
Mkuu hongera sana umeandika vizuri uchambuzi wako kila mmoja ana mtizamo na ni vyema kila mmoja aheshimiwe maoni yake..sidhani kama yupo mtu anayependa timu yake iliyo moyoni ikapoteza ila tunasema vitu kutokana na experience tuliyopitia..kuhusu kusema timu ni afadhali ipoteze kuliko kudroo upo ushahidi city ameshatupita mara mbili na draw zetu nyingi akatwaa ubingwa japo yeye kafungwa mechi nyingi...mfano...Most fans hawaujui mpira vizuri bado, wao huwa hawajui aspects nyingine za mchezo bali ni matokeo ya ushindi tu. Hawajui ni namna gani kupoteza mechi kunaweza kuathiri momentum ya team, hawajui kupoteza mechi kunavyoweza kuathiri morale ya squad.
Hawajui kushinda mechi kunavyoweza ku build morale na momentum ya team. Team inaweza kuwa underdog lakini kwamfano ikishinda game mbili mfululizo huwa wanapata morale na ku build momentum unashangaa wanashinda games mfululizo.
Mfano Nottingham na Bournemouth hawa jamaa recently wamekuwa form sana kwasababu ya kuweza kubuld momentum, winning streaks zinaletwa na morale baada ya ushindi. Everton wenyewe form yao ya hivi karibuni ni hivyo hivyo.
Vice versa sasa, angalia Arseal walipoanza ku drop points walikuwa tia maji tia maji mpaka sasa hawaeleweki. Angalia team kama Man city baada ya kupoteza game mbili tu aliendelea kupigwa na mpaka sasa hajajipata. So guys you should know the difference between and winning or earning a point.
Mjue pia impact ya kupoteza mechi na inavyoweza kuiwia team ngumu ku bounce back. So namshangaa sana mtu anaesema bora kufungwa kuliko draw, sometimes hizo maths hali apply kwenye real footballing world.
Tujifunze kuangalia mpira na kuelewa kila spect ya football in general, nje na ndani ya uwanja.
Halafu hii match ni derby na tena sio derby tu ni MERSEYSIDE DERBY ambayo katika games 10 zilizopita za hii derby Draw ni 4, Everton kashinda 2, Liverpool tumeshinda 4 na katika hizo 4 tatu tumeshinda Anfield moja tu ndio tumeshinda away.
Saint Anne kipara kipya choza choza
Kama Liver hana ujue wewe ndio huna ×2Forest ana uhakika msimu ujao atadeliver alichodeliver msimu huu?
Liver mna uhakika huo?
Tupo hapaKama Liver hana ujue wewe ndio huna ×2
Washabiki wa Everton Walishika hilo bango jana, wanadai bora Kabati lisilo na makombe ni vyepesi kulihamisha kwa miaka 30.
Dongo walilotupiga ni kwamba miaka 30 hatujabeba EPL tulikuwa tunabeba vikombe vya hovyo(vidogo) kwahyo bora wao ambao hawakubeba kabisa maana kabati lao ni jepesi kuliko sisi ambao tumebeba uchafu tukajaza kwenye kabati.
Kua hapa tulipo. Hakuna timu inakutana na Arsenal ina uhakika na ushindi