Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Namshangaa sana anae sema konate auzwe ni mzito sijui anaangalia Sofascore?
 
Tukipata Dm wa uhakika 2 no 8 za szobo na Macca boli litatembezwa hatar. Nahofia klop kutokupata pure talent ya macca kwa sababu anacheza out of position
 

Yote tisa jambo la kumi to see Bajcetic played. Bajcetic ana pasi za uhakika haswa. Bad to him injury imemrefushia safari yake ya kikosi cha kwanza.

But the lad deserves mins.
 
Nililala
Nikaamka 2nd half.

Atleast.

I enjoyed few things kwenye mechi ya jana

We have atleast depth, unlike last few season.

Unaona whole team iliyoanza jana inacheza kwa kujiamini pressing ya kutosha energy na njaa ya kufika huko juu. Tuna gain momentum kwa kadiri siku ziendavyo.

Europe group stage FA and Carabao itatupa game time nzuri sana kwa vijina.
 
Tukipata Dm wa uhakika 2 no 8 za szobo na Macca boli litatembezwa hatar. Nahofia klop kutokupata pure talent ya macca kwa sababu anacheza out of position

Kabisa.
Tuende kwa Andre january kwa £19m what a talent we will have as a six.

If i were Klopp ningejatibu double pivot ya Endo na Macca with the ball Macca anasogea mbele without the ball wanakuwa wawili.

Hapa tutapata output nzuri ya Macca.
 
Watu sijui huwa wanaangalia mpira vipi asee. Unaweza kujiuliza "hivi tumetoka kuangalia mechi moja au kila mtu kwake ana version yake ya hiyo mechi"?

Utofauti wa mtazamo juu ya kile mtu akitakacho.

Haukumbuki kuna watu walitaka Salah auzwe tuna Origi na Shaqiri???

Thats football, japo kuna muda huo mtazamo unavuka mipaka, kusema Konate mzito. Hizo recoveries za counter anazifanya upande wa TAA walau mbili hivi huwa haoni???
 
Kile tulichokiomba kwa muda mrefu tulichokitamani tukione tunakiona kwa sasa.

MF zetu zikihusika kwenye kupika magoli na kuyafunga pia.

Endo assisted
Gravenberch assisted
Szoboszlai Scored
Endo created two chances.

Last match Macca assisted

Past few matches Szoboszlai was in a scores and assists book, Elliot and Gravenberch too.

Atleast tunajiandaa kutawanya magoli.

Last 2-5 seasons was about Mane Bobby and Salah, Robbo and TAA were assisters.

Good season ahead.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…