Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunakukabidhi huyu kama ulivyofanya kwa Milner, Keita na Hendo deal naye.

Anatuchosha na tumempuuza… season iliyopita alipotea nafikri wajua sababu
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ¤£
 
DM tunae Bajcetic yule dogo ana quality pass pia kwenye Defence yupo vizuri sana pale kati akikaa Dominic szoboszlai, Stephan Bajcetic na Alexis Mac Allister itakua poa sana labda tu kwenye training dogo ajawa fit ndio maana Klopp hajaamua kumtumia.
 
Liverpool halis tuzidi shikamana
Walio kuwa wana itukana team tulipokuwa nyuma ni wale wale wasio jitambua
 
Sijui tumegundua nini Lazima tufungwe turudi second half ndio tuucheze mpira wa kutafuta matokeo

Good thing inalipa kwa sasa, but we need to settle things.

As i said it yesterday Klopp msimu huu sub anazijua na zinamlipa kweli kweli quality offensively ni nzuri
 
Kila nikiangalia na kutafakari mbadala wake bado sijaona kwa sababu zifuatazo ambazo kwa maoni yangu itachukua mda kupata mbadala wa Salah:

1)Salah ni mchezaji ambaye ana mifupa migumu sana ni nadra sana kupatwa na majeraha yakumuweka nje mda mrefu, Huyu jamaa anaweza kukaa msimu mzima hajapata majeraha, wachezaji wa aina hii tokea naijua Liverpool ni Dirk Kuyt na Suarez ndio waliokuwa na mifupa migumu kama ya Salah. Majeraha yaliyomzingua Salah mda mrefu ni pale alipotenguliwa bega na yule beki mwehu wa Madrid.

2)Anakupa matokeo mda wowote,

3)Kasi; anakimbia utadhani ndege ya kijeshi hii inampa kocha urahisi wakufanya counterpressing.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…