Gomez huwa mnamu-underrate sana kwenye recovery pace, thats his main strength, na ukiachana na VVD, ndiyo CB mwenye on-ball ability nzuri.Shida sio Anfield shida ni watetezi wetu kule nyuma. Gomez na Anorld at the same side RB &RCB?? No way Gomez akarecover makosa ya Anorld?... huyu jamaa simuamini 2 vs 1. Hata 1 to 1 anachomesha
Hincapie
We had talks with Bayer, but it was too late in the window, Bayer were not ready to sunction a deal, unless kama ingekuwa ni big offer, and numbers ambazo tulikuwa quoted zilikuwa well beyond our valuation kuhusiana na Hincapie, same kabisa na kwa Cheick Doucoure wa Crystal Palace.
Ngoja, tuone January, it seems Klopp ameamua kumuamini Jarell, for now.
Aston Villa, wont beat us at Anfield.
Kwa klopp ndio ndo hapana na hapana ndo ndioBREAKING: Liverpool have rejected a £150m bid from Al Ittihad for Mo Salah. [emoji599]
Liverpool tuchukue hii hela lasi hivyo Salah atatembea as free agent.
Kwa hiyo akiondoka tim itashuka daraja sio?Doak na Elliott wakuletee magoli 20+ wataweza? Hata wajikusanye wote wawili hamna kitu huyo Doak Bado anahitaji mda kukomaa.
Mimi naongelea mchango wa mchezaji binafsi we sijui umetokea wapi na mambo ya kushuka daraja![emoji3064]Kwa hiyo akiondoka tim itashuka daraja sio?
Kama january atakuja Andre as a DM (maana walisema wanasubiri msimu ukamilike)
Then asajiliwe CB baada ya mauzo ya Matip na Thiago uarabuni
Itakuwa ni good business.
Jamaa anamuongela Grav hapo kama ni 6.
Grav siyo 6 kabisa.
Na suala la young players ku-make wrong moves ni kawaida sana kwenye mpira, hakupata nafasi at Bayern, na hiyo siyo kwamba potential yake imekufa, he's still 21, ana room kubwa sana ya kuendelea ku-improve.
Shida sio Anfield shida ni watetezi wetu kule nyuma. Gomez na Anorld at the same side RB &RCB?? No way Gomez akarecover makosa ya Anorld?... huyu jamaa simuamini 2 vs 1. Hata 1 to 1 anachomesha
Andre atakuwa ni good addition, kama tukiamua kurudi january, but kama Mbappe ataenda Madrid next summer, nadhani tunaweza tukapata room ya ku-negotiate na Tchou camp again, na pia i can see us going back for Doucoure in the near future.
Nadhani, kwa asilimia kubwa sana, january addition itakuwa ni CB, na my money is on Hincapie, we had 3-4 days talks na Bayer kuhusiana na his file, wont be suprised kama tukirudi.
Kwa hiyo akiondoka tim itashuka daraja sio?
Acha kuwashwawashwa kuzunguka majukwaa ya watu,mbona unalazimisha kutundikwa mimba??Why hajawahi kuaminika pale Baryen ,ikafika hatua had Tuchel akasema baryen haina no.6
Wameenda had kutoa £60m kwa João Palhina
Huo Ni average player tu
Kama baryen walikuwa wanahaha kusaka a super DM , kwanini hawakumuamin huyo dogo
Mimi nampa tahadhari klopp, akianza na Gakpo, Salah, Diaz, pale mbele hatutoboi
Inabidi Gakpo ampishe Jota au Nunez
Gakpo na SlZb hawatakiwi kuanza pamoja.
Kati iwe Macca, Szobo/Gapko Endo
Utatu wa salah, Diaz , Gakpo hauna dangerous threats kwa wapinzani
Mimi nampa tahadhari klopp, akianza na Gakpo, Salah, Diaz, pale mbele hatutoboi
Inabidi Gakpo ampishe Jota au Nunez
Gakpo na SlZb hawatakiwi kuanza pamoja.
Kati iwe Macca, Szobo/Gapko Endo
Utatu wa salah, Diaz , Gakpo hauna dangerous threats kwa wapinzani
Kwani Caicedo hakuwepo kuwasaidia?😀Chelsea wanamtairi kwa mara ya pili huko.