Ryan Gravenbech, is not a panic buy, na wala siyo signing ya Pep Lijnders, i have been so hard on the coaching staff this whole week, but tulianza kum-track Grav tangu anaaza kupata his breakthrough at 16 pale Ajax, Edwards & Graham were the big admirers, this was when kabla hatujaanza kuwa obsessed na Jude, maana baadae he was seen kama Jude alternative, but when we got encouragment from Jude's side, we decided to close his file for a while, which was a big mistake (ni kawaida ya LFC).
His time at Bayern wasnt good at all, it happens, tumeshuhudia wachezaji wengi wakifanya wrong moves kwenye their careers, but kikubwa zaidi ni his potential, and the fact kuwa he's still 21.
Tulifungua file la Grav, mwanzoni kabisa mwa Transfer window, but Bayern refused to talk, our initial targets kwa msimu huu, baada ya Jude's file kufungwa, Nunes files kufungwa baada ya Wolves kuondoa his exit clause, na kabla hatujajua kuwa Fabinho anaondoka, ilikuwa ni Mac Allister, Mount/Thuram, Gravenbech & a young 6 and a young CB (range ya miaka 18-20),
Bayern, refused to talk mwanzo wa msimu, na hakukuwa na encouragment, Fabinho decided to leave, ukiachana na Fab, wenzake wanne pia wakaondoka (Hendo, Keita, Ox, Milner), so we started with Macca, then tulivyoona file la Mount linaaza kuwa na mambo mengi, we moved kwa Thuram, but Nice nao wakawa wana-state Valuation ambazo hazina mashiko (huwezi kuwalaumu) walikuwa wana-demand £55-60m, then we got tipped kuwa Szo is availabe and Newcastle were trying to negotiate a deal, tukafungua file la Szo, na Leipzig wakatuambia kuna RC, ambayo unatakiwa ilipe yote kwa pamoja (£60m), hakukuwa na room ya negotiation, na kulikuwa kuna deadline ya hii RC, maana deadline ikipita, ingekuwa ni free auction kwa Leipzig, na Clubs kibao zilishaanza kusogea, it means deadline ya RC ingepita, Leipzig wange-start a bidding war, na lazima wange-demand si chini ya £100m, so we decided to act fast, ambapo FSG waliamua kutumia a third party (Mkopo wa bank), ku-trigger RC ya Szo, na kulipa the whole amount, kama mnakumbuka, tuli-trigger hii RC siku ya mwisho kabisa.
So, moving kwa Szo, tukaachana na file la Thuram, but signing Szo ilikuwa ni chance ambayo tusingeweza kui-turn down, maana tungechelewa, achana na Newcastle, Man City wangepita nae kwa haraka sana, maana ni typical mrithi wa KDB, uzuri ni kwamba wakati tunahangaika na Szo, wenyewe pia walikuwa wanahangaika na Josko behind the scenes pale pale Leipzig.
so Fabinho, kuondoka, kukabadilisha plan, kwenye upande wa DM, nilisema hapa tangu mwanzo kuwa scouts had to convince Klopp kuhusiana na file la Lavia, na kuondoka kwa Fabinho, kukabadilisha mindset ya Klopp, as akaona we dont need a project 6, tunahitaji zaidi ya hapo, hence that bid kwa Caicedo, which at the end of day ikaharibu our whole transfer window upande wa DM, because clubs zikaanza kutu-quote stupid money (huwezi kuwalaumu), we looked at Doucoure, Flo Luis etc, but valuation zilikuwa high sana, asked for Andre, and we were quoted a RC/buyout clause for this summer, having already paid two buyout/RCs for Macca & Szo, ilikuwa ngumu kufanya business inayohusisha another RC, so tukawa tunajaribu ku-negotiate a reasonable fee.
The Bayern called, 2 weeks ago, ready to talk, hence suala la Andre likarudi kuwa kimya kidogo, Klopp and the coaching staff had to take their chances on Grav.
Endo can prove to be a smart signing, kama atafanikiwa ku-step up kwenye ile 6 role for now.
At the end of the day, Transfer window, haijaenda kama tunavyotaka, lack of a starting typical 6 and a CB, but Club imefanikiwa ku-sign first choices zote, and ngoja tuone Klopp na Ljinders wanafikiria nini kuhusu hole ya kwenye MF, hasa upande wa number 6, hatuwezi kulalamika now, imeshatokea, cha msingi ni ku-evaluate formations/shapes ambazo zitawasaidia kina Endo, Grav na wenzake kuwa na impact kubwa kwenye team.