Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ama kweli ushindi uleta nguvu.

Naona wana liver hata wale walikua mapangoni wametoka na kufurah kweli kweli.

Na had wengne kwenda mbali kusema bado game 35 wapewe kombe lao[emoji23].. Tunaheshimu mawazo yenu wakuu mda utaongea.

Hongereni pia kwa comeback ya kibabe tena mkiwa pungufu zidi ya Newcastle kwao.
 
Wanadai ni technical foul as a last man haijalishi umecontact na mpinzani kwa kiwango gani

Unapokuwa unamblock mpinzani alaf wewe ni last man lazima iwe red card

But ngoja tuone kama watakata rufaa
Liverpool wakiendelea Na mchezo wao wa kukata rufaa wanapopewa Red card itawacost,, referees wa uingereza Wana umoja kila mechi Tutakandamizwa kmya kmya.
 
Bro, yaani hapa nilikuelewa sana. Nikasubiri mechi ya jana ili nione. Mungu alivyo mwema nikaona kile ulichokifungua hapa. Hakika jamaa ni positional player kama ulivyotufafanulia. Nimemuona akigusa mipira mitatu tu akiwa kwenye the same corner ya 18. Mpira wa kwanza- sikumbuki pasi ni ya nani- alishindwa kuudhibti beki akauwahi. Mipira mingine miwili at the same position anafanikiwa kuwatoroka mabeki anapiga palepale alipopiga kwa mara ya kwanza.
Ulichozungumza hapo juu kuwa Klopp anahitaji kum-accomoadate udhaifu wa Nunez kama Guardiola afanyavyo kwa Haaland ndiyo sahihi.
Jana Nunez kapenyezewa mipira mitatu kadiri ya alivyojipanga kutokana na ushurikiano mzuri wa Salaha na Sobo kati ya hiyo miwili tumepata magoli ambayo ni classic. Amenikumbusha foward mmoja wa Reli ya Morogoro enzi hizo akiitwa Elias Mwachura, alikuwa ni mtu wa kutafuta nafasi kisha akina Boniface Njohole au Juma Salum Msawila kumchungulia tu.......utasikia akiita NTILIE, NTILIE.

Mengi yanakuja kupitia kwa huyu mwamba.
 
Mnaponda team ikiwa nyuma uwanjani
Kwa matusi na kejeli
Mnasifia tukishinda.
Upuuzi na utoto kabisa
Watu wana haki ya kuponda kwakuwa kuna mapungufu ya wazi katika midfield na defense, na hilo linajulikana dunia nzima. Ila matokeo tuliyopata sote tumefurahi kwa ushindi na kikawaida furaha hukusahaulisha matatizo angalau kwa muda mchache kidogo. Jana tumeshinda kwa individual brilliance ya Nunez na Alisson (they made the difference), ila kama team bado tuna mapungufu mengi sana.

Midfield na defense overhaul is a must, tuache kutegemea individual players watufanyie mazingaombwe msimu mzima, hii ndo sababu tumekuwa tukishindwa kuwa-keep wachezaji wetu wazuri misimu ya nyuma i.e Suarez na Torres
 
Mfumo ulibadilika Diaz hawezi kucheza kiungo ya ndani Ukocha ni Professional.
Formula ya kwanza kabisa ni kwamba mnapopewa red card ni kutoa winger ili kuingiza specialist cover wa aliyepewa red card, unless you have the proper players in the same line up that can cover those positions but generally lazima uue winger moja.

Sasa anayesema Diaz kutolewa ni makosa tumsamehe tu coz in all major leagues hakuna tean itamtoa fit Salah wakati mnahitaji kufunga na mpo pungufu.
 
Umemaliza, mwenye kuelewa na aelewe
 
Kwa msaada Nenda YouTube cheki Mo Salah vs Kompany ....Kompany alikuwa beki wa mwisho na alimrukia Salah mguuni na beki akapewa yellow ... Sometimes ni marefa kukamia timu flani na huu mchezo umerudi.
Haya mambo mbona yanaelezwa sana na wachambuzi jamani.

First of all ni kuangalia je alichofanya beki ni foul?, la pili je alikuwa ni mtu wa mwisho in defence?, na la tatu je ilikuwa ni scoring opportunity kama asingemfanyia foul? kama majibu yote ni yes then it's a straight red card.

Club haito-appeal kwa kuwa ilikuwa ni red card ya halali kwa vigezo hivyo!
 
Hizo scenario zinalingana na tukio lililotokea kwenye ulicho-niquote hapo tazama vizuri...mi naona marefa wa Uingereza Wahuni tu wameipania Liverpool nahisi hasa kutokana na appeal iliyopita. Ukiangalia vizuri V.a.r hasa Incidence za liver kupewa umeme Haihusiki hii mara ya pili sijui hiyo V.a.r imewekwa kwa ajili Gani ni upuuzi tu EPL.
 
Cheki hiyo na hakuna V.a.r ilihusika kutoa au kujaribu kumsaidia mwamuzi afanye Decision Gani.
 
Cheki hiyo na hakuna V.a.r ilihusika kutoa au kujaribu kumsaidia mwamuzi afanye Decision Gani.View attachment 2731150
Hii ilikuwa ni ndani au nje ya box?, kama ni nje ya box na refa aliita foul na akatoa yellow then VAR haitoingilia. Sasa je nakubaliana na VAR ama laa hilo ni jambo jengine kabisa.

VAR inahusika na offsides na maamuzi ndani ya 18, kwa matukia nje ya box hawahusiki unless it's a dangerous play and the ref has not spotted at all!. Hivi ndo mi ninavyojua ila kama ni tofauti ya hapo please tueleweshe.
 
Mkuu kumbuka tukio limetokea katika mwendo wa kasi sana... Ndani ya sekunde moja...
Ukiangalia sio foul.. VVD aliwin mpira na hapo hapo katika mwendo kulitokea contact.. .

Soccer ni mchezo ambapo physical contact ni lazima...
 
Mkuu kumbuka tukio limetokea katika mwendo wa kasi sana... Ndani ya sekunde moja...
Ukiangalia sio foul.. VVD aliwin mpira na hapo hapo katika mwendo kulitokea contact.. .

Soccer ni mchezo ambapo physical contact ni lazima...
View attachment 2731221
Hii picha inaonesha vizuri kabisa, tayari Isak alikuwa anaenda chini na bado VVD hajagusa mpira! contact na Isack ilianza kabla ya yeye kugusa mpira which makes it a foul! reviews za VAR pia zimeonesha hivo kamanda!
 
Huyo jamaa achana nae, mtu lazima aponde maana tangu mpira unaanza tulikuwa tunaangalia madhaifu et mtu anakurupuka baada ya kuingia Livescore huko na kuanza kutoa kibesi [emoji23][emoji23][emoji57]. Kunamashabiki wa Liverpool wengine wanakuelewesha kistaarabu yeye anakuja juu mara ooh nadhan umenielewa mara ww ni mtoto nawashangaa tu.
 
Unai Emery anakuja kutudhalilisha Gemu ijayo Kashaona wapi pa kutubana kupitia Gem ya St James Park[emoji3064]. Na akimpanga Trent na Gomez upande mmoja Ndo Kibanda kitaungua mapema tu. Football ni mchezo wa makosa na hizi wiki takriban 3 ambazo tutaongozwa na mchomeshaji is the worst moment ever.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…