Hata sisi tulikuwa hatuna kiungo mkabaji mbona Hili ulikubali? Na pia kumbuka tuna kocha mpya na team ipo kwenye ujenzi maana tumeuza almost wachezaji 7 wa first eleven Kante,Kovacic, Eduardo Mandy, Kai, Mount n.kEndelea kuteseka umeshindwa kuiifunga timu Haina kiungo mkabaji tena kwako ukija anfield wewe ni maiti maana ni Chelsea ni timu ndogo sana Kwa Liverpool
Umeshindwa kuifunga Chelsea msimu uliopita ikiwa hoehae ndo utaweza ikikamilikaEndelea kuteseka umeshindwa kuiifunga timu Haina kiungo mkabaji tena kwako ukija anfield wewe ni maiti maana ni Chelsea ni timu ndogo sana Kwa Liverpool
Hakuna mtu anaetaka kushindania number na hawa wataalamu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]kuku amkeni muanze kuwikaView attachment 2717359
Liverpool ni timu kubwa but sio timu yenye pull kubwa kwa wachezaji elewa HiloPossible kuna Uzungu ndani ya Liver, Timu ya Malkia/Mfalme, na labda ndugu zetu weusi wameshtukia na kuifanyia makusudi.
Au kuna campaign ya chinichini ya blacks hasa kutoka Afrika against Liverpool.
Sio suala la Kocha, bali mfumo mzima wa Timu kuanzia Misingi yake.
Nawaza tu, maana inastaajabisha kama ni kweli.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna mtu anaetaka kushindania number na hawa wataalamu
VVD
JOTA
GOMEZ
MATIP
Kashakataa kitambo.Naona tumepeleka £60m kwa Lavia, mara naye aringe aitake chelsea
Ulikua unalia tumtambulishe haya kijana huyo hapoEndelea kuota hivyo hivyo yaani kama Jana umeshindwa aisee wewe ukija anfield unakula viboko kibao sababu Kuna mnyama anaitwa valverde anatua soon
Huyu pimbi simuoni akituma zile emoji zake za kujichekesha tena (sema afya ya akili nalo ni tatizo)Ulikua unalia tumtambulishe haya kijana huyo hapo View attachment 2717465
Mzee zile emoji zimekaa kucheka ila zile emoji ni kulia yoyote anayetumia zile emoji basi anakua na maumivu ya moyo ila ndo hivyo anajifariji kwa kuchekaHuyu pimbi simuoni akituma zile emoji zake za kujichekesha tena (sema afya ya akili nalo ni tatizo)
Tunazidi kuwakera