Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelsea kiungo mkabaji ni Nan ,hata wao kiuhalisia hawana kiungo mkabaji,
Ko na yule gallagher ni nani ilikua ni halali kwa cheic kumili kiungo ila sio kujisifia kwamba umemiliki mchenzo akati unacheza na time haina MD ata mmoja
 
Ko na yule gallagher ni nani ilikua ni halali kwa cheic kumili kiungo ila sio kujisifia kwamba umemiliki mchenzo akati unacheza na time haina MD ata mmoja
Gallagher hajawai kuwa DM asee ,Umeanza kuangalia Mpira lini, Gallagher ni attacking Midfielder
 
Gallagher hajawai kuwa DM asee ,Umeanza kuangalia Mpira lini, Gallagher ni attacking Midfielder
Nimeanza kuangalia mpira kabla yako mana huwezi ukawa unajua mpira ukaja kusema Gallagher ni AM afu kwenye game 35 alicheza msim ulio pita ana goli 3 na asist 1
 
Sasa angalia kwa Caicedo msije lamba lolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pamoja na kutoa hela nyingi yakawa kama ya Lukaku [emoji23]
Mlikuwa mnapiga kelele sana tulipomsajili Enzo vipi sasa mbona kimya?
 
Mlikuwa mnapiga kelele sana tulipomsajili Enzo vipi sasa mbona kimya?
Sio ushabiki Caicedo ni DM mzuri labda mambo yaende tofauti ila jana hamuwezi anza kumsifia enzo kwamba kafanya frxh akati amekutana na liver amabyo haina Dm mbn msim ulio pita alikuepo aliweza kutamba mbele ya fabinho au mnajisahaulisha kidogo
 
Ko na yule gallagher ni nani ilikua ni halali kwa cheic kumili kiungo ila sio kujisifia kwamba umemiliki mchenzo akati unacheza na time haina MD ata mmoja
Gallagher sio kiungo mkabaji ni attacking midfielder mkuu unafuatilia mpira wa wapi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…