Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kuna dalili Caicedo akatua Anfield sababu kwa namna navyomjua Klopp na Liverpool hawawezi kukomaa na mchezaji asiyetaka kuja Liverpool.

Kuna kila dalili kuwa Caicedo yupo open kujiunga na Liverpool ila agent wa mchezaji kwakuwa ana percent kwenye deal hili anatumia Journalists kusambaza false info ili tu kuwakatisha tamaa Liverpool.

Naamini kabisa Kama kweli Caicedo anangekuwa haitaki Liverpool mapema sana hata kubid wasingebid.

Endapo ikitokea Caicedo akatua Liverpool lazima atafnya interview pengine tutajua mengi.
Hili dili mlishapoteza tangu Caicedo aliposema anaitaka Chelsea. Katika transfer msimamo wa mchezaji unachukua nafasi kubwa kuliko maelewano ya timu na timu
 
Ina maana bado tu Chelsea hawajamchukua mchezaji wao mpk muda huu? nini kinawashinda?
Ndg sisis ni watu wa Installments tena kibao. Hapo tumeanza na installments ya misimu minane, Brigjhtonwakasema ebo, mbali sana. Tukawaambia ndio maana tumekubali kulipa 115m. Haya wakaomba tushuke haya miaka 7, bado mbali. majadiliano yaliendlea hadi jioni dili likaisha. sasa usiku jama walikuwa wakisoma mkataba ni mrefu huo na kubadilishana emaisl ili kuhakikisha hakuna sehemu imekosewa kwa sababu hili dili limevunja rekodi ya British record mara tatu, yakwanza ya Enzo ikaja ya Liverpool na sasa ya Chelsea. Kwa hiyo dili kub wa sana hili haitakiwi kurush bro
 
Wakitia TU mzigo FFP inawahusu...BHA kakataa player +cash....NGOJA CHELSEA WAUZE UZE KWANZA WAPATE PESA
Bado tuna uwezo wa kusajili wachezaji wa mil 300 bila kuvunja sheria. kila mchezaji mmiaka nane na installment ya miaka 8 tutavunjaje hapo. Pia mahesabu mwenye 120m/8 ya installment = kila mwaka ni kama 15m halafu tena chukua 15m/8 ya mkataba = 2m kila msimu. sasa hapo tutavunjaje FFP? hapa mjini London kila mtu ataishi kwa akili
 
Ikiwa Chelsea itashinda leo, itakuwa mbaya sana kwenu, mashabiki wenu, John Henry na FSG
We fikiria Lavia na Caicedo akiwasili kutoka mtaroni pale Stanford Bridge tena wakitambulishwa mbele ya halaiki ya mashabiki wa Chelsea na wakati huo huo tumewafunga. Mimi naomba isiwe hivyo, tufungwe tu ili iwe faraja au consolation kwenu, nje ya uwanja tumewapiga sana
 
Mnaongea sana alafu hamtoi hela
Wekeni hiyo £115M tuone...

So far naona ni maneno na mkataba tu na reports zinasema mlitegemea Liverpool waondoe offer Yao ili mkamilishe deal kwa £100M too bad Liverpool bid hawajaondoa...

Kutokutoa hela toka ijumaa inaonesha mnaweza mkosa mchezaji vilevile.... Maana issue ni simple £115M
Or nothing
 
ilishatolewa tangu juzi usiku wewe uko wapi?
 
Tuanze hivi leo
.... .......BECKER...........
TAA....KONATE.....VVD ...ROBO
JONES...MACALISTER..THIAGO
SALAH...JOTA....DIAS

Though naona JK kashaikimbia 4-3-3
 
Mara ya kwanza nakuona umekasirika dada hadi umejaa upepo. Huu ni mpira tu na sisi ni mashabiki tu. so poa, tafuta soda uipendayo kunywa utulize kichwa. Maisha yapo baada ya kumkosa Caicedo
Chuga anaijua habari yetu
Anaongea ila anatetemeka🤣

Siwezi kukasirika Mkuu,Ollachuga mtani wangu sana
 
Twendeni tukamdunde mtu kwanza Kops
1691937980976.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom