Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sasa awatishie walete na CB hata wawili
 
Wazee wa kubana matumizi ,mara ooh sisi hatutumii pesa nyingi ,pumbavu sana average player mnapigwa Kwa 112m [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toa free transfer matip na Gomez leta CB wawili na hapo ni baada ya Caceido kutua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji599] ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Chelsea are not giving up on Caicedo despite Liverpool agreement [emoji838][emoji3455]

Chelsea want to try until the end despite Klopp confirmed the agreement and also Liverpool booked medical [emoji1092]

…the craziest saga of the summer is still ON [emoji92]

Kumekucha huko
 
Huu ni usajiri wa kukulupuka
Sio kukurupuka nowadays football is money ,no money no football..

Mambo ya kucheza Kwa passion yalishapitwa na wakati ...

Ndio maana unaona watu kama kina Henderson ,mane wako saudia ...

Hata hapo epl kama mishahara na pesa nyingi zisipotumika kuwalipa wachezaji ,soon wanaenda zao saudia ...hizo passion mnazotaka hazina uwezo wa kununua unga supermarket...

Money si football no money no football..

Kama hutaki kuinvest acha ,lakin uwanjan utakutana na team zimeinvest pesa za kutosha na zitakufundisha what is football [emoji23]..

I think klopp na yeye kashagundua Sasa ,maana zamani alikuwa anavimba Kwa kusema hawezi spend 100m Kwa mchezaji ....
 
Caicedo kashatua Liverpool [emoji23][emoji23]
 
Alikuwa anaona sifa kubania matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmepigwa kata funua

[emoji599] BREAKING: MoisΓ©s Caicedo has told Liverpool that he only wants to join Chelsea and will keep his word. Chelsea are preparing a new bid in order to complete the deal with Brighton.

[@FabrizioRomano] [emoji1628]

#bhafc #cfc
 
Mmepigwa kata funua

[emoji599] 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—œπ—‘π—š: Moises Caicedo has informed Liverpool that he ONLY WANTS TO JOIN Chelsea.

(Source: @FabrizioRomano)
 
Caicedo kashatua Liverpool [emoji23][emoji23]
[emoji599] π„π—π‚π‹π”π’πˆπ•π„: MoisΓ©s Caicedo told Liverpool that he only wants to join Chelsea! [emoji838][emoji2962]

β—‰ Liverpool had Β£110m deal agreed with Brighton as confirmed by Klopp β€” but not yet on personal terms.

β—‰ Caicedo has just informed Liverpool and Klopp that he wants to join Chelsea despite medical tests booked.

β—‰ Caicedo will not travel to Liverpool in the next hours as Chelsea are now expected to bid again very soon.

One of the most incredible transfer sagas ever.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…