Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! Ubaguzi tu [emoji1787][emoji1787]
Nyie mnaosema ubaguzi nawashangaa

Trent ni mzungu?

Kubalini tu Salah hana sifa za kuwa Captain..
Mtu ambaye kitu kidogo tu anakasirika,
Akifanyiwa sub ananuna,atawafundisha Nini wenzie humo uwanjani?

VVD na Dogo Trent ndo Macaptain,kama hamtaki katafuteni wenu[emoji1787]
 
Ule uchochoro kwa sasa, huyohuyo VVD ndio atakuwa anaonesha vidole wengine wakabe. [emoji23][emoji23]
 
Back in 2017, 2018,2019 Nikikumbuka ubishi wa jamaa wa Liverpool halisi na Liverpool fake. Nikasema ngoja niite wana liverpool fake wenzangu😃. Maana ubishi wa uwezo wa Hendo ndio ulileta yote hayo.

Juzi Jumamosi nilienda Vikindu kutafuta mbuzi kuna Mndengereko ameniuzia Beberu mmoja Safi sana kama 170K nikatinga naye Tandika nikawapa Vijana Offer ya Nyama Choma na Pepsi moja moja kwa ajili ya kusherehekea tukio la kuondoka Hendo tu.
 
Hivi Trent ni wa kumpigia kelele Salah Nini Cha kufanya wakiwa uwanjani?!! au Allison Klopp kachemka hii ni Robbery ya wazi.
Hahahahaaaa
machochoro mawili yamekua manahodha

Mvuvi lazima asafiri na ndoo chomboni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…