The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Hatuna jinsi...Huwezi kuleta wachezaji wapya wengi kwa mpigo mmoja wataelewana kwa kipindi Gani?... Hapo ni kusikilizia wapi patavuja ndo ulete kiraka kimoja kimoja.
Fabinho
Milner
Keita
Henderson
Ox..
Hao hapo lazima wapatiwe replacement



Cheick Doucoure
Sofyan Amrabat
Aurelien Tchouameni
Ryan Gravenberch
Kalvin Phillips
)

