Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,298
- 40,100
No he is here to stayWangelichukua tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
No he is here to stayWangelichukua tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji24]Hendo tunae sana [emoji23][emoji23]
Waarabu hawamtaki tena
Mama unafiki utaacha lini [emoji23][emoji23]Dah[emoji24]
Hawataki Captain makini duniani [emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama unafiki utaacha lini [emoji23][emoji23]
Babe,huoni Captain Hendo ni tunu ya ulimwengu,aliivusha hadi timu yake ya taifa kwenye WCMama unafiki utaacha lini [emoji23][emoji23]
Na iwe hivo KopLiverpool tutafanya vyema sana msimu huu
Sisi tuna kocha
Gerrard kaona klopp anazingua kaona aisaidie timu [emoji23][emoji23][emoji23] maana anaipenda timu yakeHii habari ya Henderson kumfuata Gerrard, imenifurahisha sana...hata kuzidi ile ya mzee Milner kuondoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unazingua kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]Babe,huoni Captain Hendo ni tunu ya ulimwengu,aliivusha hadi timu yake ya taifa kwenye WC
Wamchukue[emoji24]
Shida ni hela pia...Ila Fabinho angeachwa abaki
Bado tunamuhitaji,,anahitaji tu kuongezewa nguvu.
Hendo aende tu kwa kweli..ataenda tu kama mwenzie Milner..
Klopp kama anampenda sana amfate tu hukohuko,sisi hatumtaki.
Doc uliahidi kuwaongezea warabu pesa ili wamchukueNo he is here to stay
Kwanini sasa waarabu wamemuacha Le Captain?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unazingua kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani haiwezekani hao matajiri kutoa hela bila kuuza?Shida ni hela pia...
Tuna mchezaji gani mwingine tunaweza muuza Kwa milioni 40?
Tukimuuza fabinho Kwa 40..
Inakuwa tumetumia 50 Tu Kwa usajili Hadi sasa....kellher akileta 20...inakuwa tumetumia 30 kwenye usajili...
Hiyo sifa ya ubahili na kutumia hela kidogo ndo "ubingwa wetu kila mwaka"
Hawataki...sifa Yao ubahili...Kwani haiwezekani hao matajiri kutoa hela bila kuuza?
Upumbavu huuHawataki...sifa Yao ubahili...
Wamarekani na waingereza ni sifaUpumbavu huu
Kwani ubahili ni sifa?
TumepigwaWamarekani na waingereza ni sifa
Nimesikia Keleher akiondoka Pitaluga ..dogo wa kibarazil atapanda kuwa second goalkeeper...Adrian atabaki third choice