Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie ndugu zangu liverpool na sisi Man utd hatuchekani sokoni, Maboss zetu vichefuchefu na stress tu

Pep kapeleka offer kwa declan rice, sisi wazee wa tetesi alafu deadline day tunasajiri kwa kupaniki ma’flop

Ingekua ni rahisi kuama timu kama kuhacha mwanamke ingekua poa sana
Sisi LFC Fans tunafahamu hilo muda mrefu sana, Chini ya FSG hakuna Future pale tumebakia kupiga mark time tu lolote litakalo tokea si freshi.
 
hii timu ni kikundi cha saccos cha yanks.......wachezaji wazuri wote wataisha sokoni tutaanza kuletewa wa daraja la 3.... kina Arthur
 
Nyie ndugu zangu liverpool na sisi Man utd hatuchekani sokoni, Maboss zetu vichefuchefu na stress tu

Pep kapeleka offer kwa declan rice, sisi wazee wa tetesi alafu deadline day tunasajiri kwa kupaniki ma’flop

Ingekua ni rahisi kuama timu kama kuhacha mwanamke ingekua poa sana

Sie yetu mamoja tu linapokuja suala la usajili. Ni vile tu tuna mwl mzuri mzuri kiasi na ninyi atleast mabosi wenu waoga mkiwatia presha kidogo wanazichomoa tu.

Angalia bei za wachezaji mliowanunua na mishahara yao. Huku LFC tupo kighetto ghetto zaidi. Ikibidi twashindia viporo tu.

YNWA
 
hii timu ni kikundi cha saccos cha yanks.......wachezaji wazuri wote wataisha sokoni tutaanza kuletewa wa daraja la 3.... kina Arthur

Embu tazama tuliowasajili last summer

Ramsey (mkopo kwenda preston)
Carvalho (Mkopo kwenda Leipzig)
Arthur (Mkopo karudi kwako, alicheza dk 13 tu).
Nunez (walau japo baado).

Utagundua tulifanya fanya usajili na sio Usajili.
Yale yale ya Kabak, na Davies.

Timu inamuongezea mkataba Andrian???
 
Nimecheka sana aiseee, sometimes unajiuliza kwenye vikao vyao vya management wanajadili kitu gani hao maboss wa timu.
 
..
IMG_20230629_221628.jpg
 
Liverpool are working under very tough financial restrictions this summer which could potentially rule them out of a deal for Dominik Szoboszlai.

[football daily]
Mnapigwa fix mnakubali tulia uone sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom