Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Good morning..
FB_IMG_16864408793568728.jpg
 
Vitu kama hivi ingependeza zaidi kama ungekuwa unawapostia watu kama Fanboys wa Arsenal au wa Spurs.

Sisi tumeshapita hizo level za kuanza kuandika Historia ya UCL.

Hongereni sasa mutaendelea kulibeba hilo Kombe kwasababu ukishabeba mara moja ni rahisi kulibeba tena.
 
Makocha wangu bora kulingana na Mafanikio

1) Decade ya 1980 - 1990 nampa Bob Paisley.
2) Decade ya 1990 - 2000 nampa Sir A. Ferguson.
3) Decade ya 2000 - 2010 nampa Sir A. Ferguson.
4) Decade ya 2010 - 2020 nampa Zidane.
5) Decade ya 2020 - 2020 hii inaweza kuwa Decade ya Pep Guardiola.

Klopp yeye namba Ubora kwenye kunywa Pombe.
Oya hapo mwisho umenichekesha
 
BREAKING: According to reports in Spain, Liverpool have made contact with Real Madrid over a move for Federico Valverde and have submitted an offer.

Ukimtoa kimmich hakuna mchezaji nayempenda duniani kama. Federico.....

Federico valverde
 
Sikia kuna watoto pale perez hawezi kuwauza labda wafike 30+

Valverde
Junior vinicious
Rodrigo
.........
Namuona na camavinga atakua kipenzi Cha Don Perez
 
Deals za Klopp.

Calvin Ramsey huyo kwa mkopo Preston, full season.

Kuna vitu kwenye mpira hauhitaji kuona madhaifu fulani. Imagine mtu aliyesajiliwa kwa ajili ya back up ya TAA atleast he should close to TAA in term of quality. Lakini anapelekwa kwa mkopo championship huko tena Preston ambayo huwa inachezea 10 la pili season in season out.

We are not serious kwa kweli.

Klopp anafanya mchakato wa beki wa kati mmoja akishirikiana na Jorg Schmadtke wana prefer left footed CB.

YNWA
 
BREAKING: According to reports in Spain, Liverpool have made contact with Real Madrid over a move for Federico Valverde and have submitted an offer.

Ukimtoa kimmich hakuna mchezaji nayempenda duniani kama. Federico.....

Federico valverde

Offer imeshachomolewa tayari. Transfer hii ngumu kutokea.
 
Makocha wangu bora kulingana na Mafanikio

1) Decade ya 1980 - 1990 nampa Bob Paisley.
2) Decade ya 1990 - 2000 nampa Sir A. Ferguson.
3) Decade ya 2000 - 2010 nampa Sir A. Ferguson.
4) Decade ya 2010 - 2020 nampa Zidane.
5) Decade ya 2020 - 2020 hii inaweza kuwa Decade ya Pep Guardiola.

Klopp yeye namba Ubora kwenye kunywa Pombe.
3. nadhani umemsahau Mourinho
 
Barela anaenda Newcastle..
Caicedo Chelsea..

Tumewapa umaarufu Sana ...halafu haao...
 
Hii timu bhana, City kashuku treble ila utashangaa anasajili kuliko sisi, yani hii timu ishakua hovyo kwenye usajili hata hawana muda yani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom