Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,101
- 1,909
Nadhani tunahitaji pia natural number 10.Tangu coutinho hatujapata mtu wa kulainisha vitu kwenye final third.Mtu ambaye atafungua hizo low blocks ambazo mara nyingi zinaisumbua Liverpool.Kiukweli tukipata Midfielder hata mmoja tena tunahitaji CB na Right back 1 each, hapo sasa tutakuwa tayari kwa kukabiliana na EPL msimu ujao, Maana pia tunae Stefan Bajcetic yupo vizuri sana.
Mtu ambaye hata tukiswich kwenye 4-2.-3-1 atakuwa nyuma ya Gapko/Jota na katika mstari mmoja na Salah(kulia) na Diaz(kushoto).
Hii 4-3-3 ya Klopp inakwamaga sana mara nyingi tuu....



