OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Huu utopolo unasajili wachezaji wa pound M2 afu munategemea kuwa mabingwa ๐๐๐๐๐คฃ
Mmemsajili nani nyieeHuu utopolo unasajili wachezaji wa pound M2 afu munategemea kuwa mabingwa![]()
Yaah kwel, anajua man U wanaishia makundi au nusu! Ki busara lazima useme hvyo.Wakuu hii ni kweli?
Alexis Mac Allister on rejecting #mufc: They play in the Champions League, and I'm not mentally ready for that yet. I feel that the Europa League at another massive club is perfect for my development.
Huu utopolo unasajili wachezaji wa pound M2 afu munategemea kuwa mabingwa ๐๐๐๐๐คฃ
Una taarifa kuwa Chelshit inataka kumsajili Beki kisiki Maguire?



Yani tunamsajili yule magwaya wa manjestaa au kuna mwingine ๐ณ๐ณ๐ณ๐ฅบUna taarifa kuwa Chelshit inataka kumsajili Beki kisiki Maguire?
Huyo huyo beki kisikiYani tunamsajili yule magwaya wa manjestaa au kuna mwingine![]()



We need another quality cb (matip is aging, vvd calamity), we need two right backs, 2midozMacalister done...
Bado Manu Kone na replacement ya Trent kwenye defence..we are good
Upo sahihi mkuu ,atakayekupinga atakuwa sio mfuatiliaji wa transferKuna nadharia zina ukweli mkuu.
Kipindi cha wenger hiki kitu kilikuwepo, miaka ya karibu imekuwa hivi kwa Liverpool.
Transfer za hivi zimekuwepo sana tu na zitakuwepo. Kuna makocha wanaaminika wakimtaka mchezaji % kubwa huwa na kipaji kizuri. Na kuna wachezaji wanauzwa na media pia.
Kwa sasa hivi LFC, anapogusa tu hata bei lazima ipaizwe. Hii ni kanuni tu mkuu the higher the demand the higher the price.
Caicedo (hakuna aliyemtaka kwa top teams kabla ya Liverpool). Last summer january Arsenal & Chelsea wakaingilia deal.
Belligham before Liverpool hakuna top team ilikuwa na story nae, baada ya liverpool kuingilia deal Madrid huyu hapa.
Umesikia timu kubwa inahusishwa na hao, Kone & Thuram?
YNWA.
ukweli mchungu.