Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

epl moja tu ni ujinga kujisifu nayo!

Ngumu kueleweka lkn ndio ukweli. Anahitaji kuwa G.O.A.T, ayabebe makombe mengi. Sio kushangilia epl moja tu.

Asingekuwa na kiburi plus jeuri angeyabeba. Kung’ang’ana na injury prones na aged players
Arthur
Thiago
Keita
Jones
Milner
Henderson
Ox
Gomez

Hawa ni miongoni mwa waliomkwamisha sana kwa kuwang’ang’ania. Ndio sababu ya master mind M. Edward kusepa
 
Read Mac Allister’s price will be lower than £70m. Personal terms agreed between Liverpool and player. As it stands Brighton will accept Liverpool bid and allow player to move according to their policy. De Zerbi has assured he is preparing life without Mac Allister next season.

Khephren Thuram:
Liverpool are in negotiation to sign the French Midfielder from Nice this summer.
Liverpool are looking to strength their MF position after the horror season and after departure of Ox, Keita and Milner.

Manu Kone another French Midfielder who is in a radar of Liverpool.

YNWA…!!!

Huenda tukawa na wafaransa kwenye kiungo ikiwa tutawapata hao majamaa. Hizi ndizo deal za Klopp wasiojulikana awaingize kwenye system. Na ndizo deals za LFC hizi.

Khephren Thuram (huyu tukizubaa tunapigwa tena). Maans kila mchezaji tunayemtolea macho wenye pesa wanaingilia.

YNWA
 
Ngumu kueleweka lkn ndio ukweli. Anahitaji kuwa G.O.A.T, ayabebe makombe mengi. Sio kushangilia epl moja tu.

Asingekuwa na kiburi plus jeuri angeyabeba. Kung’ang’ana na injury prones na aged players
Arthur
Thiago
Keita
Jones
Milner
Henderson
Ox
Gomez

Hawa ni miongoni mwa waliomkwamisha sana kwa kuwang’ang’ania. Ndio sababu ya master mind M. Edward kusepa
sure,
klop ni mbishi sana, henderson ,milner, keita, gomez, ox, ni wachezaji ambao hawakutakiwa kuwa liverpool,....
 
sure,
klop ni mbishi sana, henderson ,milner, keita, gomez, ox, ni wachezaji ambao hawakutakiwa kuwa liverpool,....

Ndio maana biashara itakuwa ngumu, na ukiangalia ili uwe na depth wanahitaji atleast 6-7 players kitu ambacho ni risk kufanya hata kama una uwezo nao.

But kama tutapata 4 quality players CB, MF na ST (Versatile who can play RW CF & LW) tunaweza kuwa salama.

Milner
Ox
Keita
Bobby
Melo

Hawa tayari.
Heard Carvalho kuuzwa au mkopo. Another player ambaye nafasi yake inahitaji mtu.

Hatujui huenda kuna kuuzwa au mkopo wa Gomez au Matip.

Ngoja tuone signings

YNWA
 
Mchezaji akitakiwa Tu na Liverpool anapanda thamani na kuanza kugombaniwa...

Manuel Urgate Chelsea na PSG wanamgombania...
 
Before klopp… ucl ilikua ya kubahatisha…. If we can’t see his value Basi tuna tatizo kubwa

Hakuna mtu anayebisha juu ya alichofanya Klopp labda unajitoa ufahamu tu.

I myself im among who still believe he will give us trophies. Ila ukweli lazima usemwe. Klopp amezingua mara nyingi sana hata kwenye ukweli.

Hivi unataka makombe unahangaika kubaki na
Henderson
Milner
Keita
Ox
Gomez
Jones

For years, hata kama quality yao imeshuka? Hapana hapa Klopp katudanganya sana. Ishu ya TAA iliongelewa last two seasons amekomaa naye na ameiathiri timu sana maa alikuwa exposed mno, shida sio TAA shida Klopp. As coach lazima ujue namna ya kumtumia mchezaji wako pamoja na mapungufu yake ili akupe alicho na uwezo nacho. Na baada ya hapo tuliona last 10 matches vile TAA alileta utofauti kwenye timu, akiwa as inverted MF.

Pep anayabeba makombe kwa sababu hana ubaba ana ukocha haswa . Sifa moja ya kocha ni kuweka nidhamu kwenye timu na kuondoa upendelo na imemlipq hasa. Enzi za Sir Fergie, kina Mou tuliona even stars of the timu wakisugua bench au kuuzwa kama mchango wao na Klabu utaonekana kushuka.

Lakini hii imekuwa na utofauti sana kwa Klopp, kiasi cha kuzidiwa kete na wachezaji.

Hivyo basi, utambue Klopp ana heshima zake ila kwa misimu minne katudanganya sana. Timu kukaa bila kusajili quality players kwa yeye kusema ana kikosi, kumbe ni (quantity over quality). Haiwezekani timu iliyocheza 70% mwaka 2018 mpaka leo uwe nayo, kuwa nayo sio tatizo bali wameshakwisha uwezo wao. Na hii ndio imefanya tuone mwaka huu tunahitaji usajili mkubwa.

M. Edward alitofautiana mtizamo na Klopp hakutaka kina Henderson, Gomez waongezewe mkataba mrefu kwa sababu ya umri na kiwango chao. Plus Milner kuongezewa mkataba, akaamua kuondoka kwan Klopp aliwang’ang’ania.

Huyu huyu Klopp, alitudanganya kwa Melo, kasajiliwa kacheza less than 30 min tena kutokana na kulazimishwa na majeruhi. Ilikuwa mechi vs Napoli. Klopp huyu huyu alitaka Milner aongezewe mkataba Klabu ikamchomolea nje, alitaka Bobby aongezewe mkataba Bobby akamchomolea nje.

Sasa kwa madhaifu kama haya ya kocha kwa nini asilaumiwe????

NB

Klopp amefanya makubwa, lawama anazoshushiwa ni kutokana na alikuwa na uwezo wa kufanya zaidi ya hapo ila kiburi na ubishi kimefanya asifikie huko.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom