Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Muulize Dokta wako 😂😂😂😂anasema ngumu kuona anaodoka Firmino aafu anabakia galasa Henderson kama Le Captain mwee inachosha inasikitisha sana.Bobby unaamini kuna uchawi?😂
YNWA
Muulize Dokta wako 😂😂😂😂anasema ngumu kuona anaodoka Firmino aafu anabakia galasa Henderson kama Le Captain mwee inachosha inasikitisha sana.Bobby unaamini kuna uchawi?😂
😂 😂 😂 😂 Woow am humbled Miss Liverpool...Chaaaah😂😂😂😂
Wapo wengi humu nawajua ,Madaktari magentlemen ila nampenda Baba Swalehe.
Ila katika wote nampenda zaidi brother Captain Marvelous ,
My love for him is unconditional..
Sijuagi fani yake ila ndo vile nampenda Bobby bila sababu.
Klopp ameyataka mwenyewe aisee kukomaa na wazee na out of form bunch of boys kipindi chote hiki.Klop alivyo mseng* naye utashangaa anaichukulia poa uropa, wakati ndio chance ya kubeba walau kikombe+ kufuzu CL milango ya ligi ikibuma
KabisaNaona jana Bobby Firmino amekujibu kwa kupata goli dakika za lala salama..
YNWA
😂😂😂😂😂Hendo Ni mshirikina kaka
Mzalendo wa kwanza ni wewe.😂 😂 😂 😂 Woow am humbled Miss Liverpool...
Asante sana msimu huu umekua upo fire sana hapa kwa jukwaa relentlessly hata pale wengine kwa kuumia kwa matokeo yalivyokwenda kusini you stood by the team regardless of the tough going...
Ni DM ua number or ac kesho ua lunch will be catered angalau urejeshe nguvu Milner na Hendo walivyokuhenyesha msimu huu.
YNWA
Bachelor wewe ni mwehu😂😂Liverpool na CROPS wameona UEFA champions league kuna
Barcelona
Madrid
Juventus
Napoli
City
MANCHESTER United
Munich
Nk
Wakaona bora wakimbilie YUROPANI kupambana na wacheza dama wenzao
Galatasarai
Celta vigo
Benfica
Porto
FC bandari ya tanga
Wazee fc ya ujiji
Nimeshafanya Kwa Milner.
Nasubiri Captain Marvelous atimize ahadi yake kwanza,the tutaendelea.
Ila uchawi upo
Yaani Bobby anaondoka ila Hendo anabaki![]()


Kitendo cha kufungua milango kwa Milner, Ox, Keita at paa ni isharatosha kuwa akili zimeshaanza kumkaa sawa, alikua mbishi sana, mambo ya mtu akipona from injury eti ni usajili mpya naona ameshayaachaKlopp ameyataka mwenyewe aisee kukomaa na wazee na out of form bunch of boys kipindi chote hiki.
Hapakua haja eti mpaka leo tunao Henderson, Milner, Matip, Thiago na Ox yaaani haingii akilini kabisa hawa jamaa wamekua Liverpool hii huku ukitazama kwa Pep hana ma flop pale kwa sasa kila mchezaji anaepangwa pale huoni pungufu la fulani hayupo lakini kwetu ni tofauti kabisa..
Tazama kama leo Manchester City vs Chelsea wafauatao hawakuwepo starting 11 Haaland, Kevin de Bruyne, Ilkay Gundogan, John Stones, Jack Grealish, Rodri, Bernardo Silva, Ruben Dias na goalkeeper Ederson lakini katazame output unaweza sema ndio 1st 11 ya Kipara kumbe chaguo la 3, hii ndio inaitwa proper depth ya kikosi, sasa imagine inavyokua bila Salah, Robertson, VVD prime nk nk utaona tuna safari ndefu sanaaaa kumatch kazi ya Kipara pale Ethad maana ni jambo moja kua ukubwa wa kikosi lakini ni kazi ngumu sana kuweka mfumo ambao kila mchezaji anaeingia anakua output sawa na alietoka.
Nwa ngoja tuzoee mechi za Alhamisi na Klopp akicheza karata zake vimbaya atajikuta pambaya zaidi kuliko msimu huu maana safari za mechi za Europa aafu unakuta mechi Jumamosi tena EPL hivyo bila kikosi cha kueleweka tutegemee majeruhi kwa wazee wetu.
YNWA
Kitendo cha kufungua milango kwa Milner, Ox, Keita at paa ni isharatosha kuwa akili zimeshaanza kumkaa sawa, alikua mbishi sana, mambo ya mtu akipona from injury eti ni usajili mpya naona ameshayaacha
Nb: Aliambiwa Mignolet na Karius sio makipa wakumpa makombe, akabisha, yalivomkuta akaamua kuvunja rekodi kwa Allison
Akaambiwa Beki yake ya lovren na matip ni uchochoro akabisha, yalivyomkuta akaleta VVD
Alivyokua anampamba Keita , leo kamuacha bure wakati kuna timu zilimtaka kabla ni ishara kuwa amejifunza
Watch your language baby girl.......kama umekosa kitu Cha kulalamika Mchukue Henderson mlalamikie haya maswala ya kusema Salah Hana uspecial wowote uje na facts usilete hisiaKabisa
Salah aache kujinunisha akitolewa..
Hana uspecial wowote,.hata wenzie mbona wanafunga dakika za lala salama.
Bobby amejua kutufuta machozi
He's leaving us jamani![]()
Hivi kudus hatufai kweli?Macalister done deal ...
Natamani next player awe Barrela.
Halafu Tielmans...
Hatujakataa kuwa ni mchezaji mzuri.Watch your language baby girl.......kama umekosa kitu Cha kulalamika Mchukue Henderson mlalamikie haya maswala ya kusema Salah Hana uspecial wowote uje na facts usilete hisia
Leta mchezaji anayetupa 30 goals for five years plus assists na goal contribution kama kifungashio ndo uje useme Salah Hana uspecial wowote hapa
Si tulikubaliana aseno ndoo😆😆😂😂😂Amkeni amkeniii amkeniiii ....sisi ndio machampeeeeeView attachment 2630906
Yaani hii timu ilitakiwa wafagie sana
Keita, Ox na Milner wameondoshwa hawajaondoka.
Bobby pekee yake ndiye alitangaza kuondoka.
Kina Adrian wamekaa back bencher huko wanasubiri mkataba.
Mshahara wake bora wakachukue mcheza huko Amerika ya kusini. Nafasi yake ichukuliwe na Marcelo Pitaluga, young Gk. Tulimsajili kutoka fluminese 2020.
Yaani hii timu ilitakiwa wafagie sana
Kina Hendo wote walikuwa wa kuondoka.