Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Madrid ya sasa haina ukali. City ndio timu bora kwa sasa duniani. Na wataendelea kudominate kwa miaka mingi. Haswa pale england. Watapiga back to back mpaka pep atakapo ondoka.

City ni nyoko....
Kipara anachukua makombe na haridhiki anaendelea kusajili tuu
 
Huyu caicedo Ndo tunamtaka kafanya blunder moja hapa mechi nyukasto

Sitaki hata kumsikia tena

Aende huko sitaki mid players mimi with average mindset
 
Sijambo kabisa
Nafurahia mimadrid ilivyochapwa Jana 😂😂😂

Wakati sisi tunahangaika kuwaondoa akina Milner, Kipara huyoo anaenda kunyanyua kwapa.
Kipara unaweza kushangaa akaharibu fainali na over thinking zake wakati keeping things simple inasaidia sanaaaa.

Milner bado anabebelezwa na Klopp abakie 😂😂ila mzee wako anaboa sana.

YNWA
 
Kipara hata akiamua ampe binti yake wa miaka 7 apange kikosi lazima washinde...
 
Siku nyingi sijapita humu naona mmepona kideri.

Hivi wale ndugu zenu mliokuwa mnawatakia ubingwa mmeshafikia wapi?

Halafu kile kikombe mlichokua mnaturingishia miaka nenda rudi hatimae tunaenda kukibeba sasa.
Tunawaalika Istanbul mje mshuhudie soka la kibingwa.
 

Hakika mnaenda kulibeba.
Hata mimi nawaombea mlibebe pia. Kuliko lile Kubwa jinga Lukaku kulibeba
 
Usitukane Mamba kabla hamjavuka mto
 
Hakika mnaenda kulibeba.
Hata mimi nawaombea mlibebe pia. Kuliko lile Kubwa jinga Lukaku kulibeba
[emoji23] una bifu na lukaku?
Inter watapewa maua yao kwa kufika final baada ya miaka 13, ila mziki wa pep hawauwezi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…