Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Siku hizi Mo Salah analinganishwa na Rashford!!Huu sio msimu best wa Salah goli 18
Huu msimu best wa Rashford goli 16
Soon utaona Milner in....Klopp anakichaa eti Jota out Henderson in [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mzee anaishi kwa ku kopi na ku pasti..Klopp anakichaa eti Jota out Henderson in [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂 😂 😂 Hii gemu sare maua. Hizo sub lol. Nyie haya.Klopp anakichaa eti Jota out Henderson in [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama Milner in basi tunapigwa [emoji23][emoji23][emoji23]Soon utaona Milner in....
YNWA
Ila Babu alikuwa assist leader Uefa Champions league 2018 kama sikosei...Mkuu mpe heshima yake japo hutachukiwa wala kupendwa na kila Mtu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] CHEERS [emoji1635] KWA WARD KUTOKUMBALI HUYU BABU KAKAKE Saint Anne apewe mkataba mpyaaaaa...
Hii ishu ilitakiwa awe ameshasepa tangu 2020 sijui wamechelewa wapeee maana angesepa 2020 basi hii 2023 angesepa dogo Henderson lakini duh naona bado tunae.
Am happy at least sitamuona huyu babu tena na uzi wa Real Reds next season...
Klopp shame on you kwa kung'ang'ania ma dead woods.
Ila Brighton bhana wakamchukua Lallana, Welbeck na sasa Milner, je hii ni home grown players ishu ama namna gani.
YNWA
Keita ana kipaji ni Aina ya mfumo umemkataa kupelekea injury za mara kwa mara.Keita, walikuonea sana kukupa jezi namba 8 ya SG huku wakijua wazi kabisa hata uwezo wa jonas mkude huna
Kwaheri baba, nitakukumbuka kwa goli lako la ufunguzi dhidi ya manyumbu pale Old toilet tulipowanyoosha 5
Otherwise sina kumbukumbu zozote za kiwango chako tangu utue Anfield
Tena Gomez anatu-cost Sana nikikumbuka gemu ya R.Madrid anfield daah nachoka. Bora Matip japo uzee tayar.Matip na Gomez ni kopo na mfuniko. Hawa kua Liverpool mpaka sasa ni aibu ya karne kwani kwa pamoja hawana jipya wala kukupa mechi 40 dakika 90 combined...
YNWA
Hao watatu wakitua kwa pamoja itasumbua kwny rotation ya players Nani awe regular starter na Nani akalie benchiMason mount ni Addition nzuri sana kwetu wakija mount, McAlister, na Tieleman kisha tukaongeza beki wa kati mmoja kwangu mimi usajili utakuwa umetisha sana. Kumbukeni Bajcetic msimu ujao anasehemu kubwa sana bado kuna Jones na Elliot. The future is bright
Mimi na Liverpool damu damu no matter what. Pamoja mkuuNo worries mate na bora hata hujakuwepo maana maumivu yalikua mengi sana aisee.. umerudi muda mwafaka tumeanza kuona ushindi japo wa kusuasua..
Huu msimu wa maumivu tu tujipange msimu ujao
YNWA