Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool Maneno kidogo vitendo vingi
Kwa Liverpool hii ya moto tusiposhiriki Uefa niulizwe mm
YNWA FOREVER
 
Mechi hizi zilituharibia
B’mouth defeat.
C. Palace draw.

Somehow we were started to gain momentum but suddenly things went opposite (inconsistency).

Lets win all our match and see our book of a/c at the end.

YNWA
Expectedly tutakua big4
 
Liverpool Maneno kidogo vitendo vingi
Kwa Liverpool hii ya moto tusiposhiriki Uefa niulizwe mm
YNWA FOREVER
Asee kama umeangalia mechi tumeshinda lakini , fabinho, vvd, henderson, hawa watu wamechoka mno, hii timu eti mtu mmoja wa westham anapiga chenga watu wanne

Goli la kwanza ile 1,2 waliyopigiana huku kuna msitu wa mabeki wetu na mpira ukapita pale pale,

Nb kama sio uzembe wa Antonia first half tuu tungefungwa goli 3
 
nilikuwa nacheka how we were defending. Ni vile hatuna presha yoyote ile mbele yetu.

Tumepwaya sana kwenye kukaba iwe man to man, iwe zonal marking, tupoweupe sana.

Yaani kuna muda wanakabia macho mtu ananyoosha kamguu kwa nyuma akipita baaasi haangaiki naye.

Yani utadhani wamelazimishwa kucheza, kale kastail ka VVD kukaba ni vituko vitupu, fabinho kukimbia hawezi tena
 
nilikuwa nacheka how we were defending. Ni vile hatuna presha yoyote ile mbele yetu.

Tumepwaya sana kwenye kukaba iwe man to man, iwe zonal marking, tupoweupe sana.

Yaani kuna muda wanakabia macho mtu ananyoosha kamguu kwa nyuma akipita baaasi haangaiki naye.

YNWA
Tungekutana na Brentford 😃😃 wale nyuki Jana tulikua tunakula 5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom