Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
FSG mitano tena hakuna haja ya usajiri mpya Milner na Ox wanatosha
a mwanetu unaongea pumba sana,, haufurahishi wala haukeri,, jishtukieFSG mitano tena hakuna haja ya usajiri mpya Milner na Ox wanatosha
Mods mnamuendekeza Sana Jana anatuchafulia majukwaaSem
a mwanetu unaongea pumba sana,, haufurahishi wala haukeri,, jishtukie
Mods mtusaidie huyu jamaa anatuchafulia majukwaa ..Hana contribution zaidi ya kuwa kama Jf boys kila jukwaa kuandika upuuzi na kujaza majukwaa .FSG mitano tena hakuna haja ya usajiri mpya Milner na Ox wanatosha
Jamaa mzinguaji kinoma
Yani utadhani wamelazimishwa kucheza, kale kastail ka VVD kukaba ni vituko vitupu, fabinho kukimbia hawezi tena
Tungekutana na Brentfordwale nyuki Jana tulikua tunakula 5
Mm Cha msingi points tatu tukishinda game zetu zote tunarudi top 4 afu mmoja kati ya nyumbu au spurs wanaenda EuropeAu Brighton ya Mitoma.
Ila nje ya makosa ya kukaba, kuna muda tuliucheza nusu uwanja. Pasi 159 kwa Westham na 616, sio jambo la kitoto.
Kama tungekuwa na fresh legs kwenye MF tungewafunga magoli zaidi ya hayo.
KabisaSem
a mwanetu unaongea pumba sana,, haufurahishi wala haukeri,, jishtukie
Mambo anapenda Captain Marvelous kusikia
😂 😂 😂 😂 Mie huyoooo.... Nipo slow motion mode...Mambo anapenda Captain Marvelous kusikia