Ananikera😂😂 😂 😂 😂 Henderson yupo sanaa anafoka tu.
YNWA
Wamesimama na LampardNikiwawaza Chelsea ndo nagundua kumbe Sisi Liverpool nafuu sana
Nani huyo karudisha goli😡Bora tungefungwa tu sijui kwann tumetoa draw , nilihitaji Arsenal abebe ubingwa maana hata top 4 imesha tushinda hatuna maana
Aanze na mabekiKlopp unaona anavyotoa macho maana haelewi dirisha la usajili anaanza na MF au beki kwa kua kote kuko vimbaya sana.
YNWA
Hakuna cha kufungwa hapa, mshatubeba tayari asanteni sana sana sana sana, hii ndio livapu ninayoijua sasa.Hatuna mbeleko ya kuwabeba
Shindeni mechi zenu[emoji23]
Sisi tumeridhika kabisa kufungwa na tupo na furaha.
Ujinga mtupuHakuna cha kufungwa hapa, mshatubeba tayari asanteni sana sana sana sana, hii ndio livapu ninayoijua sasa.
YNWA
Ule mpira wa second half mlioupiga mlistahili kushinda,hata hivyo hongereni sana reds kwa kufanya kazi tuliyowatuma vyema.Ujinga mtupu
Mechi ya leo ilikuwa ya kufungwa
klopp out mpuuzi yule miaka 7 kombe la ligi moja tu poor klopp.Kipindi sisi tunapambana na city majinga haya yanapanua mapaja tu wahuni wanapita
Kuna huyu asenali, kuna yale majinga man u majinga kabisa
Nimeshawaambia arsenal fans, all english domestic cups are heading to manchester.Asante kuku, Asante Liverpool. Jiji la Manchester linatoa shukrani kwa kazi njema mliyoifanya. Hakika Mungu atawalipa.
Tuna jambo letu Etihad.
Niache aiseeKuna mashabiki wa liva hamjapenda timu yenu kupata hata point 1 mkiongozwa na Saint Anne , hehehehe mtapata tabu sana.
City ndio bingwa wenu mtake msitake.