DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Martinelli ni balaa lile...na hapo kuna zimwi Trossard lipo benchi linasubiri kuja kunyonya damu
Martinelli ni balaa lile...na hapo kuna zimwi Trossard lipo benchi linasubiri kuja kunyonya damu
😂 😂 😂 😂 The win is uaz to lose.Dozee dozee dozee....jamani sisi hatuna ugomvi na nyinyi tupisheni njia tutembee kuna dubwasha linatukimbiza kimyakimya kwa hasira.....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hii game haileweki ,liver wanakazaGame ngumu tayar😂
Hii ngumu mechi wamepania 😂😂😂wacha wabweke kwao ila tusipigwe saba kama Manyumbu.Hii game haileweki ,liver wanakaza
Jamaa na midevu ya lenyewe hovyo kabisa.Huyu shehe ni swaumu ama nini
Kabisa aiseeNyie watu mnatuconfuse [emoji1787][emoji1787]
City eti wapo upande wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arse8 mnachochea undugu tuwahurumie.
Ila binafsi natamani Arse8 abebe ndoo..
Mkitufunga si mbaya.
Sitaki City achukue asee tumemchoka.
Midevu yake inahusikahe mkuu ?Jamaa na midevu ya lenyewe hovyo kabisa.
Kila mmoja ashinde mechi zake.Saint Anne hili timu lako hovyo kabisa na takataka la hali ya juu.
eti "YNWA" bure kabisa.
Huenda inalifanya linakuwa lijinga lijinga.Midevu yake inahusikahe mkuu ?
Captain hata droo mnashindwa kupata kweli? kweli?!!!Kila mmoja ashinde mechi zake.
YNWA
Hatuna mbeleko ya kuwabebaSaint Anne hili timu lako hovyo kabisa na takataka la hali ya juu.
eti "YNWA" bure kabisa.