Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
MilnerDeveloping gossip.
Bye bye Nunes wa Wolverhampton tetesi ni kwamba kile kipengele kinachomruhusu kujiunga Liverpool kwa ada chini ya £60m tayari kimeshatolewa na hakipo tena.
Hii ni taarifa mbaya kwetu kama kweli Liverpool walionyesha nia unless wawe wameshajitoa kumnunua huyu dogo kwa kuwasiliana na wakala wake.
Ina maana mpaka sasa hatuna Bellingham na hatuna Nunes.
YNWA
Henderson
Ox
Wanatosha hakuna ulazima wa ingizo jipya