Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,876
- 16,446
Waliocheza jana ni vichaa wawili waliokutana kwenye jalala moja.Wanaocheza leo ni Abdallah na Dulla!
Waliocheza jana ni vichaa wawili waliokutana kwenye jalala moja.Wanaocheza leo ni Abdallah na Dulla!
Liverpool bila Milner na Ox haiwezekaniYaani we jamaa ni mwehu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kocha pale aliejua kumtumia vyema Kai yaaani mara MF mara false 9 dogo ana siku zake lakini na yeye ni Timo Werner mwingine hana jipya... Wasubiri preseason na msimu mpya kama watampata Enrique wataeleweka.Hilo Jina nimelikuta kule jukwaa la Chelsii wanamwita🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Siyo mimi kabisaa
Leo ntakua nacheck marudio ya mechi huku nasoma comments za wadau darajani huko
Wana matusi kama yote 🤣
Jana wametukana timu yao hadi basi
😂 😂 😂 😂 Rekodi yake itachukua muda sana kuvunjwa. Alituchapa hat trick na mguu wa kushoto.
Limebaki kupiga domo tu hana kingine aisee.Pas moja nzur inamponyoka mguuni...pas mbili nzuri kashindwa kuweka kross...jamaa kachoka
He is a super gaffer.... Bring em... We need the best in EPL.Tusiyempenda kaja darajani daaah [emoji849]View attachment 2577109
Hv kwann Klopp anakomaa na usajili wa mount?He is a super gaffer.... Bring em... We need the best in EPL.
YNWA
Klopp anaishi kwa kukariri ndugu huyu mzee anachokiamini yeye anataka na wengine waamini hivyo hivyo bila kuuliza hapa niaje...Hv kwann Klopp anakomaa na usajili wa mount?
Why worry we have/had Henderson/Milner 😂😂😂😂.Hivi Emre can why did we allow this man leave
Hivi alikuwa anamfokea Allison kwa kosa gani? Sijamuelewa huyu muingereza aisee....Ongeza sauti... Imagine this bam ana mdiss Allison live haha maajabu no wonder timu haina cohesion.
YNWA
Ile ni PR show hana lolote... Aliesema mpira unachezwa kwa kukalipiana ni nani jamani... Tunahitaji tuone Kapteni akitutoa kwenye hili tope sio zile bla bla zake za camera hatuhitaji zile drama kwa sasa.Hivi alikuwa anamfokea Allison kwa kosa gani? Sijamuelewa huyu muingereza aisee....