dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,350
newcastle wataenda uefa, hilo gape la match 2 ni kubwa, na tote hawezi kuwapitaHuu Msimu kwetu umeshaisha. Msimu ujao hata europa sijui kama tutafanikiwa kucheza. Labda tutaenca comference. Sababu hatuwezi kumaliza juu United, Spurs na brighton. Brighto hatuwezi kwasababu wana timu nzuri kuliko sisi. United na spurs hatuwezi kumaliza juu yao kwa sababu tayari wametutangulia kama point 8. Na ni ngumu sana kwa sasa kwa timu yenye viwango vya liverpool.
View attachment 2576625