Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,609
Acha ujinga kaka.klop ni muda sahihi wa kuondoka hata wakija wachezaji anaowahitaji yeye hii timu haiwezi kuperfom tena chini yake
timu inahitaji kocha mpya kuliko wachezaji wapya chini ya klop.
time is up for klop
Acha ujinga wewe.Sijahangaika kuangalia.
Ila angedaka yule dogo
Mbona ni mzuri!
Ifike muda Allison naye apate mbadala
π π π π π π Alisema yeye sio too loyal lakini we all can see bila chenga he is damn loyal... Kwa kua FSG nao wanacha kupoteza in terms of UCL income hii imekaa fresh kabisa... Hivi Dokta iweje channel inayokupa ma milioni ya pesa uipuzie hivi hivi ukiwa na nafasi ya kuboresha ambayo ilikua dirisha la January 2023 na ikipita hivi hivi.. FSG wameyataka wenyewe wasilaumu Klopp wala wachezaji kwa sababu data wanazo kwamba ubora wa kikosi umeshuka mnooo hivyo uwekezaji haukwepekeki lakini wao wakaona powaa tuuu Klopp will carry us... Haha Klopp is no magician guys ana limit kama hana zana na yeye atapigika tu.Miracle haifanyi kazi siku zote
Miracles haziwezi zikawa zinakukuta wewe tu
Umeokota ef kumi juzi ukala ukapona njaa unasubiria Tena uokote ef kumi upoze njaa dadeki utafurahishwa
Hicho kitu ndo kimemkuta klopp hakuna maajabu Kila siku
Na Hawa world class players washalelewa Sana na klopp
He is a good and loyal man lakini now ina m bite back dadeki
Ukitaka uamini hilo angalia dortmund walivyofungwa na bayern they kept pushing mwanangu walipush kinoma
Mpaka wakafunga goal mbili lakini unaona players gave their all
Halafu Kuna wachezaji wetu wamechoka wanakula tu mshahara na soseji pale AXA training Ona Trent mishavu imejaa tu Sasa hivi
Acha ujinga kaka.
Mbona hamkusema haya tulivowafunga Man U 7-0
Tukishinda mnasifia, tukipoteza mechi mnabwatuka.
We una bakwa sio?Acha ujinga kaka.
Mbona hamkusema haya tulivowafunga Man U 7-0
Tukishinda mnasifia, tukipoteza mechi mnabwatuka
Sasa hayo mazoezi ya mara mbili kwa wiki na hii output uwanjani unadhani zinatoa mwelekeo upi.Hii ya kuchoka hata siielewi mbona kisheria wachezaji huwa wanafanya mazoezi mara mbili kwa siku kila siku sasa hiyo kuchoka ikoje?