Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Klopp fungu la kukosa [emoji1787][emoji174]View attachment 2560446
Aisee maskini Klopp kwa mara nyingine tena FSG wamempa za uso.
Kama alivyoelezea MosDef huyu dogo Klopp amekua akafanya kila linalowezekana kwa miaka miwili iliyopita ili atue Liverpool lakini huyoo sasa asilimia kubwa tu atatu Manchester City ambao wanajiaadaa maisha bila Gudgon, Silva nk.
Pamoja na mapungufu ya FSG tukumbaliane pia Director of football pale Ethad bwana Txiki Begiristain anajua vyema namna ya kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Maskini Klopp kwa mara nyingine tena listi ya wachezaji aliowakosa inazidi kuongezeka na kua ndefu balaa.
With FSG at the top we are doomed.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chagua kati ya Milner na Ox nan apewe 5 na nan apewe 7
😂 😂 😂 😂 😂 Kwa hio anyoe ama..Huyu mdogo wake VVD ananikosha sana yule mtoto.
Timu ikija kutengemaa atatupa raha zisizo kifani.
Ila Trent kabla hajawa Ras nilikuwa namuelewa vibaya..
Kuna kaka yake anafanana naye HB balaa[emoji119]
Tunae Nunez anatosha huyu abakie alipo.Hivi huyu mtoto hauzwi?
Ilikua aje mkamkosa.Inshu ya Caiceido na Man U haikuwa hivyo.
Muache Ally apumue jamani ligi imesimama. Mcheki baada ya wiki 2.allypipi hivi hapa huyu mshkaji alitaka kuzimia au ilikuwaje? [emoji23]View attachment 2558584
Wakamchukue jamaa yao posta pale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muache Ally apumue jamani ligi imesimama. Mcheki baada ya wiki 2.
YNWA
Ila kanafanya vizuri haka katotoTunae Nunez anatosha huyu abakie alipo.
YNWA
Anyoe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa hio anyoe ama..
Mdogo wake VVD ndio anachukua nafasi ya Matip au unasema aje.
YNWA
Deal ilikuwa complicated with the number of agents waliokuwa involved.Ilikua aje mkamkosa.
YNWA
Yaani nihamie kwenye litimu linalocheza ligi za matopeni huko conferenceHii timu itakuja kuuwa hawa warembo wakina Saint Anne mtoto Mpaka kakonda shepu la kinyakyu lote kwisha.
Mrs Liverpool njoo timu ya makombe timu gani ina EPL moja tu toka ligi ianze.View attachment 2560948
Klopp ni kuli by professional ndio maana anapenda wachezaji wenye mili mikubwa kama MilnerHivi mna uhakika klopp ni kocha wa mpira kweli yani miaka 7 kombe la ligi moja.
Poor klopp.
View attachment 2560955
Kwa kua yupo Nunez na Gakpo kwa sasa hio pesa ya kumnunua wawekeza kwingine aisee pale mbele inatosha wapo Salah, Jota, Nunez, Gakpo na Diaz...Ila kanafanya vizuri haka katoto
😂😂😂😂😂😂Raha jipe mwenyewe ukisubiri FSG na Klopp utachelewa sana aisee..Anyoe tu
Akinyoa anakuwa handsome balaa.
Yule mdogo wa VVD naona anaanza kuniingia moyoni taratibu.