Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh
Imebidi nikaangalie alichokisema jamaa.


Kumbe kuna muda wachezaji wanacheza chini ya kiwango makusudi!
Basi hao watakuwa pretender wa kiwango cha lami..Mbona machoni huwa hawaonyeshi?

Na hivi huko kambini huwa wanakaa muda wote hadi msimu uishe?
Au huwa wanapata free time kwenda makwao?
 

Attachments

  • Screenshot_20230319-171133.jpg
    113.3 KB · Views: 8
Kumbe ndo maana jana nimepita jukwaa la akina Allypipi,wapo wanatoa macho wanaulizana itakuwaje Casmiro hayupo🤣


Klopp ana roho nzuri kupita kiasi yule Baba
Hivi anasali kanisa gani huyu?
Bila shaka ni mlokole wenzangu huyu..Hizi roho nzuri namna hii tunakuwaga nazo wachache.
 
View attachment 2558240

Cc allypipi.. Hatujasahau till we meet again msimu mpya ili kufuta huu uteja[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwako Saint Anne

YNWA
Dah Asante[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nacheka hapa


Hivi yule kule golini bao la sita alikuwa anafata Nini ndani kabisa ya goli wakati kipa mwenyewe yupo nje [emoji23]
Yeye yupo anadakia mguu


Tulijua kuwanyanyasa hawa wahuni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91]

Salah akishashika mpira anajua kunyanyasa adui jamani[emoji23][emoji23][emoji23]

Tupate matangazo ya wadhamini kidogo 🤣🤣🤣


Nunez atakuwa mzuri kwenye mipira ya vichwa kama CR7
 

Attachments

  • JamiiForums-2067078115.jpeg
    22 KB · Views: 8
Mimi na Captain Marvelous tuna Imani na Milner
Msitutoe kwenye reli🤣😂😂😂
Klopp is to loyal haya mambo hua yanamchanganya sana kung'ang'ania watu that his weakness na ameshindwa kua adapt kwenye proper transition ya kuachilia baadhi ya wachezaji japo wengine ambao hawakua watu wake aliwatema bila kupepesa macho kama Gini lakini wengine ana soft spot nao kiasi anakua kipofu to see the big picture... FSG ni wamiliki ambao kwao cost comes kabla ya mambo mengine hivyo Klopp anajidanganya mwenyewe kwamba atapewa kikosi kipana kwamba asajili wachezaji angalau wanne huku na Milner asiungane na akina Ox...

Anyway mkataba kashapewa bado kusaini hivyo hii no closed chapter huyu tunae sanaa na Henderson yaaani we are damn doomed....

Abaki Milner powaa tu wametaka wenyewe lakini hatutaki kusikia yale maneno ya Klopp kwamba ana kipengele where he stretch his hand kwenye usajili mara ohh hana pesa za waarabu hizo bla bla hatutaki kusikia kama alivyokomaa babu Milner na ndio akomae sokoni tuone mabadiliko kwa sababu tumechoka sana sisi kuona haya mambo yakijirudia kwa kukosa tu ku react mapema sokoni..

Muda utasema wapi tutasimamia... Natamani kama tukose UCL ili hawa FSG wakome kucheza kamali na uwezo wa Klopp kwamba sion mtenda miujiza 😂😂😂

YNWA
 
Tuna imani na Milner
Mitano tena.


Timu inachezewa danadana hii acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tushaambiwa Milner ni motivational speaker, tuwe wapole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kama vipi Captain si unipe picha kipindi kile niliomba.
Angalau nipoze tu machungu na hizi drama za hii timu[emoji119]
 

Refusing to play for managers, happens all the time.

At LFC, hii ishawatokea kina Roy Hodgson na Brendan Rogders, infact Brendan Rodgers anakutana nayo hali hii at Leicester now, some players arent playing for him.

Benitez imemkuta at Madrid & Everton, Mourinho pia imemkuta mara chache, especially spell yake ya mwisho at Chelsea, Tuchel at PSG, etc, kwenye Mid-table teams ndiyo inatokea kila siku, ni suala la kawaida kwenye mpira, players are PROS, so wakiona tactics zako hazi-make sense na haziwapi ushindi au kuleta matokeo chanya uwanjani, wana-stop kucheza at their level best (down-tooling).

Camps & dressing rooms ni different terms, Dressing room ni general term inayotumika kuainisha mazingira around the CLUB (Training facilities, resting areas, Club offices & most of all dressing rooms), Training Area, at LFC ni AXA training centre, ndiyo office ya mchezaji, as anaamka kila siku asubuhi kwenda hapo ku-report kwaajili ya training drills na other training sessions, ni kama mtu mwingine anavyoamka kila siku kwenda ofisini, huwa wanatokea majumbani kwao, na mara nyingi reporting time inakuwa ni kuanzia saa 2-3 asubuhi.

Camps, ni zile unaweka kama una tour away from the Club's home base, kama mnaenda tour Asia/USA, mnaenda kuweka camp, mfano msimu huu tumefanya tour Asia kwenye pre-season, so we had to set various camps there, pia during WC tulikuwa na camp dubai, camps & dressing rooms ni very different.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…