Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,933
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaitwa Fundi Manywele hatoi hata jasho aafu kazi kazi...
Umeona mechi imeisha PA wa Real Madrid katuchezea anthem yetu pale Bernabeu ya you'll never walk... Kama unakumbuka mechi ya kwanza Modric alivyopewa sub Anfield uwanja wote ulimshangalia kwa classic performance na leo Real Madrid nao wametulipa kwa kutuchezea kitu roho ipedacho cha YNWA... Woow that a super class act from Real Madrid management.
YNWA
Klopp bhana anaona Ancelot anamuacha half fit uwanjani Benzema sababu anajua akipata nafasi moja ni goli lakini Klopp anamtoa Nunez na kumuacha msidikizaji Milner uwanjani yaaani hYa mambo sitokaa nielewe kama kweli alihitaji kutoa front guy basi huyo ni Salah kwa sababu huyu anawazanga tu revenge na si kingine...Nafasi ya Milner heri aingie yeyote yule aliyepo benchi.
Proper highest order of sportsmanship.Unyama saana hii nimeipenda....Hallah Madrid
Zile goli 7 mpka leo kila nikifiria ilikuajekuaje hua nakosa jibu, hakika uchawi upo ni vile tu hauwezi kuvuka maji.Livafools hamna timu kweli man u tulitapikiwa na mlevi
Mechi imeisha machozi yamenibana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaitwa Fundi Manywele hatoi hata jasho aafu kazi kazi...
Umeona mechi imeisha PA wa Real Madrid katuchezea anthem yetu pale Bernabeu ya you'll never walk... Kama unakumbuka mechi ya kwanza Modric alivyopewa sub Anfield uwanja wote ulimshangalia kwa classic performance na leo Real Madrid nao wametulipa kwa kutuchezea kitu roho ipedacho cha YNWA... Woow that a super class act from Real Madrid management.
YNWA
I'm so disappointed, Bobby[emoji24]Klopp bhana anaona Ancelot anamuacha half fit uwanjani Benzema sababu anajua akipata nafasi moja ni goli lakini Klopp anamtoa Nunez na kumuacha msidikizaji Milner uwanjani yaaani hYa mambo sitokaa nielewe kama kweli alihitaji kutoa front guy basi huyo ni Salah kwa sababu huyu anawazanga tu revenge na si kingine...
Ulimuona Klopp mpaka amepewa kadi ya njano kwa kujitia lesi yaaani mpaka hapa msimu huu karibu £40m klabu inazokosa kwa kutolewa kwenye haya mashindano kizembe hivi. Klopp anang'aka tukiwa nyuma ya goli 5 seriously kwani mechi ya Anfield alikua likizo...
YNWA
Wapo matured sanaProper highest order of sportsmanship.
Kwa tukio lile nabariki kabisa Real Madrid wachukue tu tena huu ubingwa wa Uefa.
YNWA
Mzee wa Cuban Cigar ni rafiki wa Klopp itakua imeona sio jambo njema wale ma elfu wa mashabiki waodoke bila jambo njema pale Bernabeu basi wakawapa wimbo wao pendwa kuwaaga na kuwapa nguvu kurejea Uingereza nk.Wapo matured sana
Siyo kama wale nyumbu wa gengeni pressing..
Ila ntasapoti timu yoyote itakayokutana na Madrid
Hawawezj kutuonea hivi sisi[emoji24]
Mo Salah kagoma kutoka uwanjaniNdio hii timu mnatutishia nayo au kuna nyingine?
Klopp bhana hatuna mechi wekedi hii mpaka aamue kutoa threat kufunga sijui anawazaga nini siseme tungefunga lakini he has to gamble with this boy...I'm so disappointed, Bobby[emoji24]
Huyu mzee nasemaga mm kuna muda anakuwa kama amevuta bangi.
Nimeona.
Mara mia angemtoa SalahKlopp bhana hatuna mechi wekedi hii mpaka aamue kutoa threat kufunga sijui anawazaga nini siseme tungefunga lakini he has to gamble with this boy...
Nwa Uefa for us is a foregone conclusion so lets wait for busy April kwenye Epl mambo ni moto sana tuna Manchester City, Chelsea na Arsenal haha itakua April kali sana.
YNWA
Wachezaji wana roho ngumuMzee wa Cuban Cigar ni rafiki wa Klopp itakua imeona sio jambo njema wale ma elfu wa mashabiki waodoke bila jambo njema pale Bernabeu basi wakawapa wimbo wao pendwa kuwaaga na kuwapa nguvu kurejea Uingereza nk.
YNWA
Hao Man City na Chelsea hakikisheni mnawapiga haswaKlopp bhana hatuna mechi wekedi hii mpaka aamue kutoa threat kufunga sijui anawazaga nini siseme tungefunga lakini he has to gamble with this boy...
Nwa Uefa for us is a foregone conclusion so lets wait for busy April kwenye Epl mambo ni moto sana tuna Manchester City, Chelsea na Arsenal haha itakua April kali sana.
YNWA
Sasa sawa mama benzema yeye alishasema sema mbona kuwa yeye sio chochote ila kuhusu nyavu muachieni.Ndio huyo benzema mliyemnywesha alkasusu usiku kucha?
Mbona hana chochote sasa[emoji1787]
Mnadhani kuscore rahisi eeh?