Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mlivyo tuchabanga man u goal 7 mkajua mmeanza ligi kiko wapi Sasa kazi kutukamia Manchester tu.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Safi sana Bournemouth mmetuliza kelele zq hawa liverkenge.
Hahahaha kwa Liverpool hii ndugu ni ushauri rahisi..enjoy while you can kwa kua we ain't out of the woods yet.. Wachezaji ni wale wale mara wanaelewa mwalimu anataka nini mara hawaelewi hivyo tupo tupo ndugu.

Leo tumefungwo cleanly no complain.

YNWA
 
Man utd ni mbovu sawa,Ila kila inayofungwa na utd ni mbovu zaidi sindio?
 
Man utd ni mbovu sawa,Ila kila inayofungwa na utd ni mbovu zaidi sindio?
Manjesta anacheza kwa kubahatisha bahatisha ,huo mpira alikuja nao Conte msimu uliopita ukampeleka had UCL league wachambuz uchwara wakasema na usajili alioufanya msimu huu Basi atagombea EPL , Sasa hivi anajipanga kutimuliwa

EPL haitaki janja janja ,ndio maana manjesta kulambwa 7 hakubahatishwa , Vs Betis ni sababu timu ya kawaida ,ila walishazawadiwa goals 2 na Degea , makosa ambayo Liverpool waliyatumia .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…