Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,793
Mara ya mwisho United kupata ushindi pale Anified Rooney alikuwa bado anaichezea united. Ashley Young, chriss smalling Mateo Damian, Lingardinho, Juan Mata walikuwa bado wapo united. Kabaki De gea tu. Wengine washaacha soka.Michezo 8 ya Liverpool na Manchester United katika dimba la Anfield
2-0
0-0
0-0
3-1
2-0
0-0
4-0
7-0
Liverpool 18-1 United on aggregate.soka bhana
Kwa pira tulilopiga leoMatumaini yamerudi. Sio kwa sababu ya game ya leo. Tangu tulipocheza na Real Madrid tulicheza vizuri. Sema Madrid walituzidi. Tutaenda Uefa tena. Nina uhakika kwa % nyingi Spurs, Newcastle hawawezi kumaliza ligi wakiwa juu yetu. Labda Brighton wanaweza kutusumbua.
Nimepita Kule kwenye uzi manjesta unatamba huku nako upo,,, tamba ndo mda wako huu hata mie arsenal nashukuru kwa kunipigia yule kima😃Kwa pira tulilopiga leo
Pira 5G,hakuna kima yeyote atatufunga[emoji91][emoji91][emoji91]
Saivi naishi maisha magumu sana mkuu apa nasubiri msimu uishe tu nianze kutamba tenaView attachment 2537699
OllaChuga Oc hata LiveScore hayupo tena jamaa yaaani kakimbia mazima anasubiri mpaka Mei hivi ndio utamuona na maneno mengi mengi kwamba msimu ujao atatisha sanaaa😁😁😁😁
YNWA
Tuliwaambia lakini GP siyo kocha,Saivi naishi maisha magumu sana mkuu apa nasubiri msimu uishe tu nianze kutamba tena
Eti the ball is roundView attachment 2538830
Where is he going?
View attachment 2538831
He was going to toilet[emoji3060]
Kisa jana mumemjaza mutu bao saba 🤣🤣Tuliwaambia lakini GP siyo kocha,
Mkasema sijui mbele kwa mbele
Pamoja na kujaza benchi kama siafu,ila hakuna kitu amefanya..timu linaenda poromoka huko darajani [emoji1787]
Sisi tukijaza benchi vile,hakuna timu itatamani kucheza na sisi.
Itakuwa kichapo bandika bandua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2538830
Where is he going?
View attachment 2538831
He was going to toilet[emoji3060]
Sasahivi sijui mtatuambia nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kisa jana mumemjaza mutu bao saba [emoji1787][emoji1787]
Sisi tatizo ni kocha tu ila tukituliya mutajuta kutujuwa.