Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,557
Lolote linaweza tokea, commentator akasema kwa ushindi huu basi wanachance vs Madrid… let’s wait and see.Je huu ujinias atauweza kwa madrid?
Lolote linaweza tokea, commentator akasema kwa ushindi huu basi wanachance vs Madrid… let’s wait and see.Je huu ujinias atauweza kwa madrid?
Huyu mtoto ni habari nyingine


Tukicheza hivi siku zote kama tulivyocheza leoJe huu ujinias atauweza kwa madrid?




Huyu sijawahi kuwa na mashaka nayeView attachment 2538486
Anatetea mshahara wake kwa vitendo sio bla bla.
He loves playing vs Broken Manjesta
YNWA
Usiwe unaenda huko wanabakaga hukoNajuta kutokwenda kibanda umiza Leo
Nani yupo hapa kibozone
Nakunywa bia Leo![]()
AiseeeUsiwe unaenda huko wanabakaga huko










Ukiona dogo Firmino ameamua kusepa ujue kashaona huyu dogo kumtoa 1sr 11 sasa itakua kibarua kigumu huku Bobby umri ukiwa umesogea.Huyu mtoto ni habari nyingine![]()
Hawa waendee





Ile habari ya Klopp kwamba kuna mabadiliko yanakuja Liverpool ilikuja wakati sahihi maana angalau tunaanza kuona kujituma kwa hawa wachezaji.Huyu sijawahi kuwa na mashaka naye
😂 😂 😂 😂 😂 Alkasusu imewahusu hawa jamaa na kwa vile kuna baridi kule wametoka kifua mbele...Hawa waendee
Wasituzuge.
Ushindi wa leo ni nguvu ya Klopp
Na wachezaji sijui wamekunywa alkasusu leo
Kila mtu amekaza miguu![]()
Kazi na dawaHuu uzi tuufunge kwa mda twende uzi wa Man u![]()






Yamekua hayo tena mbona hamkusema mnataka rekodi.Bora mjavunja hii record aise.View attachment 2538518