Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

...
20230208_140841.jpg
 
Milner
Hendo
OX
Keita

Usijeshangaa kusikia wanapewa Mikataba mipya tena minono.
Danny Murphy anasema hata laumu Klopp akitokea mikataba kwa hao wachezaji kwa kua anasema kama hapewi ela kununua wachezaji wengine basi hana namna zaidi ya kuwabakisha waliopo...

Bila FSG kusepa zao tuwe na subira maumivu bado yatakuwepo.

YNWA
 
Naona mnaitumia city kujifariji.

hehehehe

Ndio maana nawaambia muiombee city isishuke daraja maana ndio inayowafariji kwenye hichi kipindi mnachopitia cha ubovu uliotukuka.

Bila city wengi humu mngekuwa mshajipiga vitanzi.

Embu wote mnyanyue mikono juu kisha mseme "city tunakupenda maana watupa faraja sisi livapunda"
Na bado mnaenda kucheza matopeni
 
Danny Murphy anasema hata laumu Klopp akitokea mikataba kwa hao wachezaji kwa kua anasema kama hapewi ela kununua wachezaji wengine basi hana namna zaidi ya kuwabakisha waliopo...

Bila FSG kusepa zao tuwe na subira maumivu bado yatakuwepo.

YNWA

Kama Tajiri kaharibu yeye siyo kazi yake kujenga.

Tajiri hatoi hela na yeye habakishi hao Magarasa mpaka Kikosi kinaki na Wachezaji Watano halafu tuone nini kitatokea.

Lakini cha ajabu yeye ndiye anaye entertain Ujinga wa hao FSG
 
PSV coach Ruud Van Nistelrooy: "Cody Gakpo’s dream move was Man United. I advised him to wait until the summer”, reports Telegraph. #MUFC

“Something happened, he refused my advice and listened to Van Dijk who tempted him to join Liverpool”, van Nistelrooy added. #LFC
 
Kama Tajiri kaharibu yeye siyo kazi yake kujenga.

Tajiri hatoi hela na yeye habakishi hao Magarasa mpaka Kikosi kinaki na Wachezaji Watano halafu tuone nini kitatokea.

Lakini cha ajabu yeye ndiye anaye entertain Ujinga wa hao FSG
Kwa sasa Liverpool wachezaji wenye uhakika wa kurudisha ubora wao ni Trent akipata MF bora,
Fabinho akipata MF wa kazi kazi
Alison akipata ulinzi bora,
Nunez akitulia aacha papara kulenga goli lilipo,
Diaz akipona vyema na ubora wake ule ule..
Jota akipona na apate dakika za kutosha akicheza kama second strika.
Konate kama sio serial starter

Salah, VVD, Henderson,Matip, Thiago, Robertson, Milner, Keita, Ox hawa kwa kweli hawana tena momentum kukibizana na vijana mwanzo wa msimu mpaka mwisho wa msimu kushiriki EPL, FA, Carabao na UCL.

Kwa kweli
Yeye mwenyewe Klopp ana entertain hii hali.
Naona ameigeuza kichaka chake cha kujifichia udhaifu wake
Ili hata akipigwa ,kisingizio kiwe hana kikosi kipana .
 
Kwa sasa Liverpool wachezaji wenye uhakika wa kurudisha ubora wao ni Trent akipata MF bora,
Fabinho akipata MF wa kazi kazi
Alison akipata ulinzi bora,
Nunez akitulia aacha papara kulenga goli lilipo,
Diaz akipona vyema na ubora wake ule ule..
Jota akipona na apate dakika za kutosha akicheza kama second strika.
Konate kama sio serial starter

Salah, VVD, Henderson,Matip, Thiago, Robertson, Milner, Keita, Ox hawa kwa kweli hawana tena momentum kukibizana na vijana mwanzo wa msimu mpaka mwisho wa msimu kushiriki EPL, FA, Carabao na UCL.

YNWA
Liverpool ipo kutunyoosha wallaq
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom