Hapa umeongea nini mkuu yani hawa wachezaji usio waamini sio wa Kloop?Klopp namwamini lakini tuwe realistic kwa hali hii ya wachezaji hatuna uwezo huo wa big 4 labda wapone Arthur, Jota, Diaz, Firmino na walete nguvu na ari mpya kikosini lakini kama mambo ni haya haya ya kwenda kutazama mechi tukijua ni kipigo basi Klopp akumbali yaishe mapema kwamba mashabiki tusiwe na ndoto ya big 4.
Kumwamini Klopp sawa je wachezaji wanaaminika sasa kucheza mbinu anazotaka Klopp maana wenyewe ni kama wameshanyanyua mikono kwamba msimu huu wapo wapo kushiriki lakini sio kushindana.
YNWA
Kama utani ila ndio kweli imekuwa[emoji1787]Mchawi huyu hapa,
Huyu mzee mdomo wake nimeanza kuuogopa. View attachment 2508464
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unapata ushindi ukiwa umelala [emoji23][emoji23]Manchester City haoo muda wowote wanasheria wakichemka basi tutajikuta na kombe la EPL hivi hivi.
Saint Anne unaweza kua bingwa wa "mahakamami" wewe subiri tu uone.. Manchester City wapo kwenye kikaango na EPL kuhusu mambo fulani walidanganya sasa ikidhibitika wamedanganya wanaweza kupokonywa pointi kadhaa ama je kombe la EPL watapokonywa [emoji23][emoji23][emoji23]tujikute sie ma 1st runners mara 2 dhidi ya Manchester City tunapewa angalau kombe moja tupoze maumivu ya msimu huu.
Hapo imekaa aje jamaa. Ushindi ni ushindi tu hata kama ni mahakamani
YNWA
Kumbe too young? I wish to marry you [emoji39][emoji39][emoji39]Heee
Tangu 2008?
Sijui hata nilikuwa wapi[emoji13][emoji1787],was too young .
Na hiyo avatar imejaa magumi ya ndoinge lol!Kumbe too young? I wish to marry you [emoji39][emoji39][emoji39]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Na hiyo avatar imejaa magumi ya ndoinge lol!
Halafu Mimi last born, na ngumi wapi na wapi[emoji16]
Si ntazimia Mimi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Utapigwa kama ngoma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kumbee eeee.Si ntazimia Mimi😂
LoL!
Humu ndani mpole ni Captain Marvelous tu,,
Ana soft words😋
Wengine wagumu kuanzia avatar hadi majina
Floor meneja nimo hapa kuhakikisha itifaki zote zinangatiwa.Kumbe too young? I wish to marry you [emoji39][emoji39][emoji39]
Aisee naona Kipara akiwaacha jamaa wa Ethad maana ikidhibitika kweli walifanya udanganyifu sioni akibakia pale kwa sababu hii ishu inakuja mara ya pili na mara ya kwanza alisema walimhakikishia hakuna makosa yoyote yalitokea ama kukiuka utaratibu na sheria za ligi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unapata ushindi ukiwa umelala [emoji23][emoji23]
Noted Mkuu.Hapa umeongea nini mkuu yani hawa wachezaji usio waamini sio wa Kloop?
Majeruhi walipo na nafasi tuliopo bado havifanani kwamwe timu imepoteza morali jifanyeni hamuoni tu
Yeah, I love a man with soft words[emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbee eeee.
YNWA
Nilikuwa naenda kuangalia mechi na bro zangu,walikuwa wanashabikia liver.Ulianzaje kuipenda liverpool FC?
Mimi nilikuwa darasa la 6 , nikanunuliwa jezi ya torres (9) ikawa kwisha habari yangu , hadi now nimemaliza chuo still YNWA.
Our manager,the floor is yours[emoji91]Floor meneja nimo hapa kuhakikisha itifaki zote zinangatiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni mambo ya uhasibu hayo mkuu, vigumu kuelewa kama hujapitiaMhh inamaana next financial year utaonyesha tena 100M as tranfer fee expenses for the some players? Hakuna Auditing huko ulaya? Then what about due diligence, mfano PSV anasema mwaka huu kwenye mapato yetu tumepokea 45M from liverpool kwa mauzo ya Gakpo then Liverpool nyie mnasema tumelipa 10M for Gakpo au mimi sijakuelewa vyema because naona haileti sense kabisa mkuu.