Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

timu Kama westham ina mid strong kama rice , paqueta nyie mna keita na hendo ? Alafu mnataka muwe competitive , ??? Utani huu

Hapo sijazungumzia zile top six, nimechagua midtable team!
 
Kocha Misimu 7 ana EPL moja na Bado Watu hawajajua kama Jamaa Hana Akili.
Waajiri wake wanajali mpunga zaidi... Klopp kakuza brand ya Liverpool kuvutia wawekezaji wengi wenye kutoa mpunga wa kueleweka.
Kimsingi tuna vision tofauti kabisa kati ya wamiliki na mashabiki, sisi tunataka makombe lakini FSG wao wanatembea na data za klabu inavyokua kibiashara.
Klopp sasa anawekeza kete yake kwenye champions league lakini kwa uchezaji huu asitegemee miujiza yoyote pale zaidi ya kipigo na hapo ndio FSG wataelewa umuhimu wa kuwekeza maana mpaka sasa bado wanaamini Klopp atawavusha salama wakati Klopp mwenyewe ameishiwa mbinu na maneno amebaki kurukaruka tu.

YNWA
 
Mzee wa hockey cap.

YNWA
 
Nanyi mngepata mmiliki kama Tajiri miluzi mngefika mbali
Kuna muda kiasi mpaka June 2023 labda klabu itakua ishauzwa aisee maana ule mpango wa kuuza wachezaji kwa bei ya juu na kununua kwa bei ya chini kwa sasa umepitwa hauna tena mashiko lakini FSG kuona hivyo wameamua wachukue chao mapema sana.

YNWA
 
Klopp ametutoa tukiwa Timu inayoheshimika mpaka sasa ametuheuza Kigenge cha Wahuni halafu linakaa kwenye Media linajichekesha tu na mimeno yake kama Vidole vya Miguu ya Mtu aliyezaliwa Kigoma.
Acha masikhara mkuu, Klopp ndo aliwatoa kutoka timu iliyokuwa kama kigenge cha wahuni na kuwaheshimisha, now kwa kuwa ameteleza kidogo mnamnanga hivyo
 
Acha masikhara mkuu, Klopp ndo aliwatoa kutoka timu iliyokuwa kama kigenge cha wahuni na kuwaheshimisha, now kwa kuwa ameteleza kidogo mnamnanga hivyo

Hapana Klopp hajateleza bali kazembea.

Tokea 2020 alipigiwa kelele kuwa Kikosi kinazeeka kwa pamoja awe anafanya adjustment ya Wachezaji lakini akaona Pombe ni bora kuliko kazi yake akaamua kununua Watoto, Kuokota Wachezaji waliokataliwa, kuwapa Mikataba Wazee na Magarasa, kununua Wachezaji walipo Vitandani.
Hii ni aibu mpaka leo anategemea Timu aliyoiunda 2017.
Pep Msimu huu kidogo anatumba sasa subiri Msimu ujao uone atakavyoboresha.
 

Yani kitu watakachotufanya Real Madrid mpaka nimeshaanza kuogopa.
 
Yani kitu watakachotufanya Real Madrid mpaka nimeshaanza kuogopa.
Bwana wee kama tunawashindwa Nottingham Forest itakua aje kwa wale wakongwe wa Uefa yaaani hio gemu Klopp ana bet kwa Konate, VVD, Jota, Diaz, Firmino wawe wamerejea.

Tatizo la timu hii ki kubwa ajabu sio tu wachezaji wapone kama anavyofikilia Klopp.

Hio gemu ni vyema kuitazama ukiwa na maji ya baridi mkononi kupoza joto.

Tazama upande wa Trent yupo Vincious na kule ndio kumepoteana zaidi kuanzia kwa Salah, Elliott, Trent yaaani siku hio Trent atalaa bar.

YNWA
 
Klopp hua ni ngumu sana kumwelewa aisee hivi katika macho ya kawaida mbona mpira hauonekani hawa kua wachezaji tegemeo kwa mfano Milner, Henderson, Matip na hao wakapewa mikataba mpaka leo wamo. Wanajaza wingi badala ya ubora na kugharimu pay roll ya klabu.

Lini ulimuona Pep yupo huko nafasi ya 10 na je lini ulimuona Pep kuwakomalia wachezaji.

Hawa wachezaji wangekua Liverpool chini ya Klopp bado tungekua nao
Dzeko
Kokolov
Silva
Mangala
Hart
Fernandidho
Aguero
Kompany
Cancelo
Aguero
Jesus
Sterling
Negredo
Otamendi
Nolito
Bravo
Na wengine wengi.

Klopp amekosa kua na ukomo wa umri kwa wachezaji kupewa mikataba mirefu huku ikiwa ni kama kamali kwa kua baada ya kupita miaka 30 wachezaji wengi wameonekana kupungua uwezo wao uwanjani.

Mmiliki mpya lazma.

YNWA
 
Anakataa ili iweje sasa[emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…