Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Captain anaanza benchiniLiverpool squad vs Brighton
View attachment 2499301
View attachment 2499302
All the best kwa vijana wetu.
YNWA

Mkuu Acha kumpakulia kocha wako Minyama...! Hiyo ni kazi ya Roberto De Zerbi mwenyeweKazi ya Potter hiyo. Kaijenga timu hata bila Caicedo na Trossard bado timu inacheza kibingwa

#LFCKikosi asilimia kubwa kakisuka potter Acha roho mbaya mkuuMkuu Acha kumpakulia kocha wako Minyama...! Hiyo ni kazi ya Roberto De Zerbi mwenyewe
Potter kaondoka Brighton na ikapoteza michezo mitatu Kati ya minne, maana yake ni kwamba wakati anaondoka potter aliondoka na kila kitu chake
Potter ameenda Chelsea hakupoteza mechi katika michezo karibia 9 ya ligi kuu pamoja na UEFA ila akaja kupoteza alipokutana na team ambayo imepoteza michezo mitatu Kati ya minne ambayo ni Brighton
Roberto De Zerbi alijitafuta kipindi anapigwa back to back hadi akajipata na ndio tukaona hiyo team, ingekuwa Zerbi anatembelea Nyota ya potter basi asingepigwa kama Ngoma baada ya Graham kwenda Chelsea
Matokeo ni kwamba tunaweza kusema Potter ndio alikuwa anatembelea upepo wa Tuchel ndomana mwanzo Chelsea ikaonekana iko njema na baada ya kuanza kuipriment mbinu zake maji yakazidi unga ndio hadi leo
De Zerbi amekuta potter anamtegemea Moises na Trossad ila yeye kaja katengeneza team ambayo ata akosekane mchezaji muhimu bado inakupa matokeo
Trossard hakucheza hakucheza game 5 kutokana na matatizo ya kinidhamu ila Brighton ikaendelea kuwa yamoto kama kawaida, Mc Allister akakosa game 3 alipotoka world cup ila Moto ukawa ule ule
Subiri Potter atengeneze team nzuri hapo Chelsea tutampa tu sifa zake na sio kuanza kupewa sifa ambazo hazimuhusu, kwa sasa Brighton ilivo ni mipango ya Zerbi only
Potter Bado Sana kwa Di Zerbi,Kazi ya Potter hiyo. Kaijenga timu hata bila Caicedo na Trossard bado timu inacheza kibingwa
Play through you
Play around you
Play over you 

RUBISHMkuu Acha kumpakulia kocha wako Minyama...! Hiyo ni kazi ya Roberto De Zerbi mwenyewe
Potter kaondoka Brighton na ikapoteza michezo mitatu Kati ya minne, maana yake ni kwamba wakati anaondoka potter aliondoka na kila kitu chake
Potter ameenda Chelsea hakupoteza mechi katika michezo karibia 9 ya ligi kuu pamoja na UEFA ila akaja kupoteza alipokutana na team ambayo imepoteza michezo mitatu Kati ya minne ambayo ni Brighton
Roberto De Zerbi alijitafuta kipindi anapigwa back to back hadi akajipata na ndio tukaona hiyo team, ingekuwa Zerbi anatembelea Nyota ya potter basi asingepigwa kama Ngoma baada ya Graham kwenda Chelsea
Matokeo ni kwamba tunaweza kusema Potter ndio alikuwa anatembelea upepo wa Tuchel ndomana mwanzo Chelsea ikaonekana iko njema na baada ya kuanza kuipriment mbinu zake maji yakazidi unga ndio hadi leo
De Zerbi amekuta potter anamtegemea Moises na Trossad ila yeye kaja katengeneza team ambayo ata akosekane mchezaji muhimu bado inakupa matokeo
Trossard hakucheza hakucheza game 5 kutokana na matatizo ya kinidhamu ila Brighton ikaendelea kuwa yamoto kama kawaida, Mc Allister akakosa game 3 alipotoka world cup ila Moto ukawa ule ule
Subiri Potter atengeneze team nzuri hapo Chelsea tutampa tu sifa zake na sio kuanza kupewa sifa ambazo hazimuhusu, kwa sasa Brighton ilivo ni mipango ya Zerbi only
Hutaki kukubali ukweliRUBISH
Mkuu me mbona sina roho mbaya bali naongea ukweli, kusuka kikosi kocha yoyote Yule anaweza ila shida inakuja ni hicho kikosi kukupa matokeo kulingana na mbinu zakoKikosi asilimia kubwa kakisuka potter Acha roho mbaya mkuu
UBARIKIWERUBISH
Akili huna. Endelea kuota!Kazi ya Potter hiyo. Kaijenga timu hata bila Caicedo na Trossard bado timu inacheza kibingwa
Hakyamungu,

Hiking kikosi hakutakiwi kuwepo mchezaj yyt wa liver